Kimuhemuhe cha Harusi Chaua

Duuh nikikumbuka ndoa ya wazazi wangu duuuh ilikuwa ya kawaida mno, japo uwezo wa kufanya makubwa ulikuwepo. hakuna ukumbini wala honeymoon, ilifanyika nyumbani hapohapo kutoka tu kanisani, siku ya pili kila mtu alienda kazini kwake, walialikwa tu majirani na marafiki, ndugu nao walikuwepo hakukuwa na mchango wowote, japo wazazi ni watoaji sana, tangu hapo hawaalikwi ovyoo na wakialikwa wanapewa info wasichangie,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulishuhudia ndoa ya wazazi wako? au ulihadithiwa...
 
Mkuu hujasema kwa nn unamemuita "aliekua mke wangu".
Je mliachana? Na kwa nn?
Mkuu hujasema kwa nn unamemuita "aliekua mke wangu".
Je mliachana? Na kwa nn?
 
DUH.......ULISHUHUDIA NDOA YA
WAZAZI WAKO??
KAMA NDIVYO,SEMA ULISHUHUDIA
WAKIKATA LESENI.
 
Mkuu hujasema kwa nn unamemuita "aliekua mke wangu".
Je mliachana? Na kwa nn?

Mkuu hujasema kwa nn unamemuita "aliekua mke wangu".
Je mliachana? Na kwa nn?
Story ndefu kidogo na Mimi sio mwandishi Sana....ila nilishare kidogo humu kwa ule Uzi wa kufunga mwaka.
 
Hata mm kama nitafanya harusi sitachangisha mtu...


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…