Kimuhemuhe cha umiliki wa Gari ya kwanza

Kwenye somo la measurements & evaluation....nilijifunza THINGS A TO BE VALUED AND PEOPLE TO BE LOVED.
Sinaga uchizi kwenye vitu....
Kuna muda inatokea mkuu, ukikumbuka ulivyopambana kuipata, ulivyokuwa unatandikwa na jua na kama una kioara hadi kinafuka moshi, unatokwa majasho, mwenye gari akipita anakumwagia maji haya yote yanakufanga uwe proud kutembelea tackle na kulinda chombo.
 
namba nane umenigusa
 
Tuko wengi mleta mada,nilikuwa nafuta vumbi mpaka kwenye engine yani unataka engine iwe safi kila wakati...
 
Daah gari ya kwanza ina wehu wa kutisha acha kabisa.

Usiku wa kwanza yaani unaamka na kuwa usingizi mang'amung'amu na kila saa kulichungulia🀣🀣🀣

Ilikuwa September 2009.
Sitasahau hiyo furahaπŸ˜…πŸ˜…
 
Tuko wengi mleta mada,nilikuwa nafuta vumbi mpaka kwenye engine yani unataka engine iwe safi kila wakati...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naimagine namna kama engine ilikuwa inakuwa safi muda wote, gari ilikuwa inaoshwa mara ngapi kwa siku?!
 
Daah gari ya kwanza ina wehu wa kutisha acha kabisa.

Usiku wa kwanza yaani unaamka na kuwa usingizi mang'amung'amu na kila saa kulichungulia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ilikuwa September 2009.
Sitasahau hiyo furaha[emoji28][emoji28]
Mi nilikuwa sipati usingiz mzur...full mang'amung'amu[emoji16][emoji16]
Saiz namaliza hata wiki sijaliwasha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nilikuwa sipati usingiz mzur...full mang'amung'amu[emoji16][emoji16]
Saiz namaliza hata wiki sijaliwasha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na wese lilivyopanda mzee baba kama sina dili ya maana naliacha home bila woga.
Japo niwe mkweli gari ina urahabu mbaya sana.
Kugombania daladala na una ka usafiri chako haizoeleki mkuu tuwe wakweli
 
Kumekucha Kumekuchaa ( in Majuto voice)
 
Kuna jirani yangu ni mjinga mjinga hatuelewani sana. Leo nimeota ametuma majambazi wamekuja kuchukua mkweche huu. Nilivyostuka nikakuta ni ndoto tu nimeshukuru sana.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…