Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TrueYes upo sahihi mwenyewe pikipiki ya nyumbani sikuwahi fundishwa na baba na hata mtu mwingine aliponifundusha ilileta ugomvi wa baba na mama ila neema iliponitembelea ya kumiliki kachuma nilifanya baadhi ya vitu ulivyo ainisha ila vingine vimezidi
Mmmmmmhmn vile vimkate vya bofloHapa gari yangu bora kabisa ni Suzuki Jimny - Manual Transmission. Specifically hiki kipya 4th generation (2018 - current), sidhani kama nitakuja kugusa gari nyingine nje ya hii maisha yangu yote.
Yes, ni square edged box design. Kanachonivutia haka kagari kapo simple and very practical hasa hasa kwa mtu ambaye ni minimalist.Mmmmmmhmn vile vimkate vya boflo
Ngoja niache kujibizana na litaahairaa asee[emoji848][emoji848]Internet Slay queens and looser.
Ujuaji mwingi uelevu nyuma
Karibu kwenye club
Nshaunguza sana hzi plates, maana nlikua natembea kwny barabara mbovu mixer foleni kwa hyo mda wote mguu kwny clutch.Unajua watu hawajui kuwa mzungu alishakaa akatathimini mapungufu ya manual ndipo akaona kipengele cha manual clutch kitolewe na hilo jukumu lifanywe na computer automatically.
Manual kuendesha kama mzembe utakaanga sana zile clutch plates, kwenye foleni ya Dar utajuta, maana ni bumper to bumper, safari za mbali ndio hivyo lazima uwe attention muda wote sababu gari inaingiza gear kwa kutumia akili yako na sio computer.
Sasa madereva wa safari ndefu akishachoka sehemu za hatari kuzingua ni dakika tano tu.
Wacha waseme ila Automatic ni transmission nzuri zaidi na rafiki kwa madereva. Siku hizi hadi wanawake tunagombania nao foleni ya leseni tofauti na zamani ukienda kuchukua leseni leo leo unarudi nayo hakuna foleni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
How comes auto inakua expensive kuliko manual, wakati always gari manual bei yake hua imesimama ukilinganisha na autoIla kwa sasa hivi bei imeshuka kidogo haka ka 2020 miezi mitatu iliyopita nilikuwa pale CFAO Motors - Suzuki Tanzania unaipata kwa milioni 62 tu kwa manual transmission ila auto ni karibu 69M kasoro bima tu.
Alion hadi 15m, allex na runx ni 14m. Ila hzo ipsum na zingine unaeza pata kwa less than 13mInabd unip uzoez kwa sasa nding hiz ukiagz had zfk mkono inawez ikaliw ngap
Zenye 1.5 toyota
Ipsum
Filder
Allion
Allex.
Lunix
Zinawez kuw above m13
Wapi nimeomba kulipwa mbususu , mdogo wangu ?Thank you sponsor, ila malipo ya mbususu sina. Itakuwaje sasa
Mkuu nikivunja kibunu ntakufatu tusaidiane maelekezoAlion hadi 15m, allex na runx ni 14m. Ila hzo ipsum na zingine unaeza pata kwa less than 13m