Kimuhemuhe cha umiliki wa Gari ya kwanza

Ni kweli uyavyosema but the fact is, to me is not about taking things for granted au kutojua thaman ya vitu ambao hujaigharamia, ni hivi, kwangu Mimi Bila kujali gari ni yangu lakin bado nilko kwenye barabara zile zile, naishi maisha yale yale nliyokuwa kabla ya kupata gari yangu, Mimi gari bila kujali ni yangu ama ni Uber, ama daladala but it's just mode of transportation. Hiyo ni moja ya ukweli mgumu sana kwa watu kuishi nao. The material things doesn't matter to me anymore. Iwe nyumba nzuri, simu nzuri ama chochote kizuri, I get bored the second I own it. So Mimi hua naona gari halifanyi maisha yangu kuwa bora pale nanunua. Mimi kuwa mtu mzuri na kufanya kwa ajili ya wengine ni hisia bora zaidi kuwahi kuwa nazo...it's put smile on my face kila nikikumbuka😊....but sorry I'm not trying to be disparate, najaribu to express my view...
Its okay mwaya usijali

Ni vile tu kwetu tuliosave it tastes sawa like a mode of transport lakini kuna so much joy kuona umefanikiwa kitu chako
 
Haaha siku nikija nunua gari nahisi day 1 ntalala ndani ya gari[emoji23][emoji23] pia kuiacha gari nje mimi nilale ndani sijui kama usingizi utakuja. Hongereni wote mlioweza kuwa na magari. Napenda IST new model iwe gari yangu ya kwanza[emoji14]
Unafeli wapi mrembo ?..
Bro Extrovert hajakununulia Tu wakati yeye ni mtaalamu wa hayo makitu?

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Na wewe ulizidi mno ina maana kwenu hakukuwahi kuwa hata na mkweche wa pikipiki au gari
 
Sijawahi kumiliki sawa...jipe moyo na kicorolla chako lione!
Nikushauri tu kistarab, ukiona kitu hakipo level zako katika mijadala ya humu bora ukoment ile imoji ya fayaa ([emoji91][emoji91]) kisha soma koment za wengine.

Ila ukitaka kujitia much know ilihal hujui unajidhalilisha sana tena mnoo.

Google hapo maana ya saloon/sedan cars uone zinafafanaje na zimeundwaje.

Kuhusu kuwa na kicorolla sijui, ila ninachojua umri wangu ni miaka 29 december nafunga 30 yrs, na gari nililo nalo ni la nne toka nianze kumiliki na kuuza, gari ya mwisho kuachana nalo ni Harrier nyeusi matako ya nyani, kwa sasa sikulipenda kwa sababu ukikata kona kali kwenye spidi kubwa inakosa balance, lakin pia hata ukiwa barabarani ukifika speed ya 120 kwenda juu unakosa utulivu barabarani.

Endelea kufurahi, kulidhika kwa kujipa furaha kwamba yule hana kitu kama mimi.
 
Hebu nitolee mgazeti wako kama wa mange!

Mwanaume mzima unaniandikia ligazeti kuubwa kisa nimesema sipendi visaloon cars [emoji849]

We unanishauri kama nani? Blah blah tako la nyokoz sijui kitu gani nimekuuliza hayo yote?

Pita hivi[emoji117]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nikushauri tu kistarab, ukiona kitu hakipo level zako katika mijadala ya humu bora ukoment ile imoji ya fayaa ([emoji91][emoji91]) kisha soma koment za wengine.

Ila ukitaka kujitia much know ilihal hujui unajidhalilisha sana tena mnoo.

Google hapo maana ya saloon/sedan cars uone zinafafanaje na zimeundwaje.

Kuhusu kuwa na kicorolla sijui, ila ninachojua umri wangu ni miaka 29 december nafunga 30 yrs, na gari nililo nalo ni la nne toka nianze kumiliki na kuuza, gari ya mwisho kuachana nalo ni Harrier nyeusi matako ya nyani, kwa sasa sikulipenda kwa sababu ukikata kona kali kwenye spidi kubwa inakosa balance, lakin pia hata ukiwa barabarani ukifika speed ya 120 kwenda juu unakosa utulivu barabarani.

Endelea kufurahi, kulidhika kwa kujipa furaha kwamba yule hana kitu kama mimi.
Msigombane basi jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Its okay mwaya usijali

Ni vile tu kwetu tuliosave it tastes sawa like a mode of transport lakini kuna so much joy kuona umefanikiwa kitu chako
Of course ni ile feeling ya uhuru wa kumiliki chako ndio huleta hiyo hali ya kimuhemuhe.
 
Back
Top Bottom