Magari damu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 433
- 759
Suzuki wameamua bhna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya chukua bei ya gari hapo kutoka japani ongezea na hii kodi hapa ya tra halafu plus gharama za bandari halafu njoo unambie ni bei gani.Mwenzenu anazungumzia model hii. View attachment 2013040
@SizingaHaya chukua bei ya gari hapo kutoka japani ongezea na hii kodi hapa ya tra halafu plus gharama za bandari halafu njoo unambie ni bei gani. View attachment 2014600
😅😅😅😅😅Thank you sponsor, ila malipo ya mbususu sina. Itakuwaje sasa
Internet Slay queens and looser.Hebu nitolee mgazeti wako kama wa mange!
Mwanaume mzima unaniandikia ligazeti kuubwa kisa nimesema sipendi visaloon cars [emoji849]
We unanishauri kama nani? Blah blah tako la nyokoz sijui kitu gani nimekuuliza hayo yote?
Pita hivi[emoji117]
Umeongea vizuri sana na pia kuna vitu vingi huko sawa na mimi. Nilipokuwa mdogo nilikuwa najua furaha ya maisha yangu italetwa na material things so nilijitahidi kukusanya vitu vingi kama nyumba na magari. Baada ya muda nimekuja kugundua vitu vyote hivyo wala havijabadili maisha yangu.Ni kweli uyavyosema but the fact is, to me is not about taking things for granted au kutojua thaman ya vitu ambao hujaigharamia, ni hivi, kwangu Mimi Bila kujali gari ni yangu lakin bado nilko kwenye barabara zile zile, naishi maisha yale yale nliyokuwa kabla ya kupata gari yangu, Mimi gari bila kujali ni yangu ama ni Uber, ama daladala but it's just mode of transportation. Hiyo ni moja ya ukweli mgumu sana kwa watu kuishi nao. The material things doesn't matter to me anymore. Iwe nyumba nzuri, simu nzuri ama chochote kizuri, I get bored the second I own it. So Mimi hua naona gari halifanyi maisha yangu kuwa bora pale nanunua. Mimi kuwa mtu mzuri na kufanya kwa ajili ya wengine ni hisia bora zaidi kuwahi kuwa nazo...it's put smile on my face kila nikikumbuka😊....but sorry I'm not trying to be disparate, najaribu to express my view...
Hongera...utaenda kiwandani wakutengenezee special editionTOYOTA RANGE CRUISER ndio gari ya ndoto yangu.Siku hiyo taomba likizo kazini kabisa
Toyota Range Cruiser?!?!?😨😱😱Dah hii gari gani mkuu, naomba hata kapicha tafadhali?!*TOYOTA RANGE CRUISER ndio gari ya ndoto yangu.Siku hiyo taomba likizo kazini kabisa
Yes upo sahihi mwenyewe pikipiki ya nyumbani sikuwahi fundishwa na baba na hata mtu mwingine aliponifundusha ilileta ugomvi wa baba na mama ila neema iliponitembelea ya kumiliki kachuma nilifanya baadhi ya vitu ulivyo ainisha ila vingine vimezidiWe madingi zetu kwenye magari yao unawajua unawasikia.
Hapa gari yangu bora kabisa ni Suzuki Jimny - Manual Transmission. Specifically hiki kipya 4th generation (2018 - current), sidhani kama nitakuja kugusa gari nyingine nje ya hii maisha yangu yote.Suzuki wameamua bhna
Acha tu. 😂😂 apo mbele iponkama karioke tankhawkHii ni grand vitara. Mmmmmmhmn hapo bei sasa itakuwa kiama
Mkuu hiyo gari naimind sanaToyota Range Cruiser?!?!?😨😱😱Dah hii gari gani mkuu, naomba hata kapicha tafadhali?!*
Bonge la gari hili asee. Na bei yake imesimama kinoma. Price inafika hadi 80m yani huwezi amini. Mostly yani ni zinatumiwa na serikali tu aseeHapa gari yangu bora kabisa ni Suzuki Jimny - Manual Transmission. Specifically hiki kipya 4th generation (2018 - current), sidhani kama nitakuja kugusa gari nyingine nje ya hii maisha yangu yote.
Acha tu Mkuu,tena hasa iwe kitu cha beast model,ni balaaToyota Range Cruiser?!?!?😨😱😱Dah hii gari gani mkuu, naomba hata kapicha tafadhali?!*
Ila kwa sasa hivi bei imeshuka kidogo haka ka 2020 miezi mitatu iliyopita nilikuwa pale CFAO Motors - Suzuki Tanzania unaipata kwa milioni 62 tu kwa manual transmission ila auto ni karibu 69M kasoro bima tu.Bonge la gari hili asee. Na bei yake imesimama kinoma. Price inafika hadi 80m yani huwezi amini. Mostly yani ni zinatumiwa na serikali tu asee
MmmmmmhmnUmeongea vizuri sana na pia kuna vitu vingi huko sawa na mimi. Nilipokuwa mdogo nilikuwa najua furaha ya maisha yangu italetwa na material things so nilijitahidi kukusanya vitu vingi kama nyumba na magari. Baada ya muda nimekuja kugundua vitu vyote hivyo wala havijabadili maisha yangu.
Kitu nachokipenda kwa sasa ni heshima na ushauri ninaoombwa na watu. Imefikia kipindi watu wanakuja mpaka usiku kuja kuomba ushauri wa mawazo kuhusu jambo fulani. Kwa mimi inanipa faraja sana na furaha.
Huwezi amini siku hizi hata kuendesha gari sipendi natamani niwe napanda mabasi nikikaa kwenye kiti nijipumzikie na kusoma say kitabu au niingie JF na mitandao mingine sio kukomaa road asubuhi one hour jioni tena one hour inaniboa sana