kidadari
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 8,647
- 9,604
Baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutangazia kuondolewa kwa tozo iliyokua inaumiza wanufaika wa mkopo hasa Wafanyakazi bado kumekua na kimya kingi kutoka bodi ya mkopo kuhusu maendeleo ya mchakato huo.
Bodi walitoa taarifa kua wanarekabisha tozo hiyo kwa kuiondoa pia watahuisha taarifa za wahusika kila wakati.
Mwezi wa pili sasa hakuna updates yoyote ili wanufaika wajue kinachoendelea maana kukaa kimya junaweza kuwafanya wakaja na formula ambayo haitaleta ahueni kwa wanufaika.
HESLB tunaomba updates sio siasa wengi wanaumizwa na tozo hiyo.