Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Chama kisicho shughulikia matatizo ya jamii kinakufa.Unaitegemea ccm ikupe maisha borra ? Pole.
Nchi si ngumu, wananchi wa Tanzania huwa hawana fujo wala nini. Uongozi ndio uko matatani.Nchi ngumu sana hii.
Hakuna tofauti na seikali ya kikoloni iliyokuwa ina react to circumstances badala ya kuwa pamoja na wananchi kimaendeleo.KWA MAZINGIRA YA SASA GEN Z WAKITANGAZA MAANDAMANO HATA KAMA HAWATAFANYA, VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA LAZIMA VIWEKE LOCK -DOWN.
KUWEKA LOCK-DOWN MAANA YAKE NI KUKWAMISHA SHUGHULI NYINGI ZA KIUCHUMI; UTALII UNADORORA ZAIDI, BANDARI KUNASIMAMA, USAFIRI WA ANGANI NA ARDHINI UNADORORA ZAIDI NA MAPATO YA SERIKALI YANAPUNGUA.
CCM imeanza kuwa irrelevant!Hakuna tofauti na seikali ya kikoloni iliyokuwa ina react to circumstances badala ya kuwa pamoja na wananchi kimaendeleo.
uko sahihi kabisa mkuu.Nchi si ngumu, wananchi wa Tanzania huwa hawana fujo wala nini. Uongozi ndio uko matatani.
Wengi wanatafuta sababu za kuzunguka mbuyu tu.uko sahihi kabisa mkuu.
Discern the reality. Kiuhalisia CCM sio chama cha siasa; bali ni koti la kisiasa linalovaliwa na genge lenye dola ili kupambana na vyama vya siasa, asasi za kijamii na wananchi wanaohoji mamlaka kwa ujumla.CCM sasa hivi ni kama bubu.
Kuna matatizo makubwa ya kijamii, chenyewe kimya kama bubu.
Watu wameuwawa wakati wa uchaguzi. CCM haijatoa tamko rasmi.
Sasa hivi maji hakuna sehemu nyingi nchini, CCM kimya.
Inaelekea sasa CCM ni gulio tu la uongozi na haisimamii matakwa na kero za wananchi.
CCM ikifa, hsitspata waombolezaji, isipokuwa wafaidika wachsche.
Spot on!Discern the reality. Kiuhalisia CCM sio chama cha siasa; bali ni koti la kisiasa linalovaliwa na genge lenye dola ili kupambana na vyama vya siasa, asasi za kijamii na wananchi wanaohoji mamlaka kwa ujumla.
Tangu 29 Oktoba hilo koti limepumzishwa - limening'inizwa pale Lumumba. Mazingira ni magumu sana. Koti hilo halihitajiki wakati huu. Halina umuhimu. Dola yenyewe ndio iko kazini kudhibiti hali. No pretence.
Mambo yakikaa sawa - endapo yatatulia na maisha kurejea kama kawaida - koti litavaliwa tena na utasikia tena shamrashamra za "CCM OYEE!" zikirejea kwa bashasha zote. Utashuhudia malori na matrekta yakirejea kazini kujaza mafuriko ya nyomi kila kona. Pengine hata wasanii kupanda majukwaani tena! Yatakuwa ni maajabu mengine ya Tanzania - kisiwa cha amani na utulivu minus Haki! π€ π³
CCM sidhani kama kuna kitu wanafikiria zaidi ya kupata vyeo vya umma.CCM sasa hivi ni kama bubu.
Kuna matatizo makubwa ya kijamii, chenyewe kimya kama bubu.
Watu wameuwawa wakati wa uchaguzi. CCM haijatoa tamko rasmi.
Sasa hivi maji hakuna sehemu nyingi nchini, CCM kimya.
Inaelekea sasa CCM ni gulio tu la uongozi na haisimamii matakwa na kero za wananchi.
CCM ikifa, hsitspata waombolezaji, isipokuwa wafaidika wachsche.
Kinachosikitisha ni kwamba CCM sasa inaitumia serikali kukandamiza wananchi.CCM sidhani kama kuna kitu wanafikiria zaidi ya kupata vyeo vya umma.
CCM bye bye, kuna mtu kasema CCM ni idara ya serikali kama vile Magereza, JKT na Polisi.Discern the reality. Kiuhalisia CCM sio chama cha siasa; bali ni koti la kisiasa linalovaliwa na genge lenye dola ili kupambana na vyama vya siasa, asasi za kijamii na wananchi wanaohoji mamlaka kwa ujumla.
Tangu 29 Oktoba hilo koti limepumzishwa - limening'inizwa pale Lumumba. Mazingira ni magumu sana. Koti hilo halihitajiki wakati huu. Halina umuhimu. Dola yenyewe ndio iko kazini kudhibiti hali. No pretence.
Mambo yakikaa sawa - endapo yatatulia na maisha kurejea kama kawaida - koti litavaliwa tena na utasikia tena shamrashamra za "CCM OYEE!" zikirejea kwa bashasha zote. Utashuhudia malori na matrekta yakirejea kazini kujaza mafuriko ya nyomi kila kona. Pengine hata wasanii kupanda majukwaani tena! Yatakuwa ni maajabu mengine ya Tanzania - kisiwa cha amani na utulivu minus Haki! π€ π³
CCM wamebweteka sababu ya kubebwa na DOLA hilo ndilo tatizoCCM imeamka kwa kutetea wananchi kuhusu kupanda kwa gharama za maisha kutokana na kupanda bei za mafuta.
Lakini bado, kulaani Oktoba 29 au kutoa tamko hatujaisikia CCM.
CCM vipi?CCM imeamka kwa kutetea wananchi kuhusu kupanda kwa gharama za maisha kutokana na kupanda bei za mafuta.
Lakini bado, kulaani Oktoba 29 au kutoa tamko hatujaisikia CCM.