Kimya cha mshana Jr

mshana jr yupo kamati ya ufundi ya Daudi Bashite...yupo kwenye picha ya leo wakimtambikia
 
[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] nimerejea tangu juzi nipo mbona? Nilikuwa kwenye vikao vya mwaka! Tumemaliza Salama kabisa
 
Hebu tafuteni hakuna mtu ameanguka na ungo siku za karibuni. Maana huo ndio usafiri anaopenda isijekuwa kapata ajali.
[emoji15] [emoji15] [emoji102] [emoji102] [emoji31] [emoji31] [emoji124] [emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…