Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakupenda.Mshana yuko salama salimini...
Ni ubze flani tu umemtinga... Ila soon atarudi
Nakupenda pia...Nakupenda.
[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] nimerejea tangu juzi nipo mbona? Nilikuwa kwenye vikao vya mwaka! Tumemaliza Salama kabisaNaomba kuhoji hasa ukizingatia kuwa ni mmoja wa vigogo waandamiz wa jf. Msaada mkubwa Sana Kwa Maada zake za kufikirisha na kukumbusha.. Sijamwona zaid ya week mbili.. Kapatwa na nini au ndo yuko chaka akirudi na story kubwa kama Ile alivoenda Lindi akakutana na jamaa anayekula popote na kutumia Bila kulipa hela. Uncle mshana Jr. Tumekumiss (tumekukosa). Na sio yeye tu wapo wengi ambao toka haya masakata ya kupelekesha kibabe Babe yaanze hatujawaskia. Siwezi kuwataja wote.. Huu upepo utapita tu na jf itarudi kwenye Zama zake za kuchangamka.. Watu wamekuwa wanyonge Sana ni kama tunasubiria kunyongwa. Mixer stress.. Mixer uwoga mixer kuchanganyikiwa.. Popote ulipo kumbuka lolote linatokea, usifanye makosa.. Tupo Zama za hatari kuwahi kutokea.. Take care... Mwenye mawasiliano na mshana Jr amshutue aje kutupa point chache za namna ya kuishi tanzania ya Sasa.. Maana kukutana na mtu anaongea peke yake barabarani sio ajabu tena Kwa kipindi hiki.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Atakuwa ameenda tena Korea
God is good niko Salama saliminiMara ya mwisho alilalamikia kitu kama LEAK of certain SELF SECURITIES
Ni kama hakuna jema linaloendelea!
nawaza tu!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115]Ameenda kurenew taalauma
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23]Hujui kama ni muda wa kuvuna maharage
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115]kaenda kuchukua dawa sheli sheli
[emoji15] [emoji15] [emoji102] [emoji102] [emoji31] [emoji31] [emoji124] [emoji124]Hebu tafuteni hakuna mtu ameanguka na ungo siku za karibuni. Maana huo ndio usafiri anaopenda isijekuwa kapata ajali.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji31] [emoji31] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yuko kwenye kamati ya ufundi kupooza issue ya Daudi Bashite.
Duu[emoji15] [emoji15] [emoji102] [emoji125]yuko KOLOMIJE anakusanya data
Merejea nipo [emoji23]Huyo saizi yuko sumba, akirudi tuuu Jf yote itasimama.
Kaka Mshana Jr ukuje useme Ulienda wapi
Thanks [emoji7]Mshana yuko salama salimini...
Ni ubze flani tu umemtinga... Ila soon atarudi
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji102] [emoji102] [emoji102]Usikute wameisha mfuturu!!🙁
[emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mshana jr yupo kamati ya ufundi ya Daudi Bashite...yupo kwenye picha ya leo wakimtambikia
Nakupenda.
[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji15] [emoji15]Nakupenda pia...
Tumefurahi kukuona tena mkuu.[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] nimerejea tangu juzi nipo mbona? Nilikuwa kwenye vikao vya mwaka! Tumemaliza Salama kabisa
Been missing you allTumefurahi kukuona tena mkuu.