Kimya cha Simba katika usajili kinanishtua

Kimya cha Simba katika usajili kinanishtua

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Habari
Nadhani sasa wenzetu Makolo wameanza kujifunza nakujiendesha kisasa kama sisi team ya Wananchi, nadhani wamejifunza kwetu.
Nawapongeza kwa hili

Mwezi wa 6 usajili ulijaa kufukuza na kuingiza ovyo ovyo. Walitimua hadi wachezaji makini na hatari kama Morrisson na Okrah ili kujionesha ati wako makini na usajili

Ila sasa wamestaarabika hawana mbwembwe nadhani wanazingatia ushauri wa Coach, nadhani hii itawasaidia kuambulia japo nafasi ya pili mbele ya Azam

Nawapa heko watani sasa mmeanza kuendesha team kitaalam
Sio msajili magalasa kina kapama, onana, miqson, sawadogo, okwa eti muonekane kwa mashabiki

Nawaombea watani, ili muwe imara sasa tushindane kiwanjani

Sipendezwi na migogoro na uhuni wa viongozi wenu dhidi ya team hii ya simba

NB kumbuka kudai B20

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom