Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!wataka warudishe nyuki jmosi
Maji jangwani yamekauka? Kesho msilete visingizio kwamba kelele za chura ziliwa- frustrate wachezaji wenu hadi wakashindwa kucheza!!Ngano zushaanza kupanda kichwani
........Toka lini mbumbumbu akawa mbabe wa Yanga?
Maji jangwani yamekauka? Kesho msilete visingizio kwamba kelele za chura ziliwa- frustrate wachezaji wenu hadi wakashindwa kucheza!!
Mikelele ya leo ndiyo maana jana nikasema mlikuwa mnaomba kimya kimya!!Sawa Bi.Hindu Fc.
.......Hivi kale kamjengo kenu pale kodi siku hizi bado anachukua Mzee Kilomoni au Mhindi?
Mikelele ya leo ndiyo maana jana nikasema mlikuwa mnaomba kimya kimya!!