Kimya cha wanayanga kina mshindo?

Kimya cha wanayanga kina mshindo?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
Si kawaida yao kuwa kimya kiasi hiki bila tambo wala majigambo kuelekea mechi yao dhidi ya wababe wao Simba. Hawa jamaa ni lazima wako kwenye maombi mazito ya kimya kimya wakiomba kesho dau lao lisizame!!
 
Habari za chini zinasema mganga anataka damu ya MTU ndio wapate goli moja huku Simba ikiwa na tatu

wataka warudishe nyuki jmosi
 
Ngano zushaanza kupanda kichwani

........Toka lini mbumbumbu akawa mbabe wa Yanga?
 
Ngano zushaanza kupanda kichwani

........Toka lini mbumbumbu akawa mbabe wa Yanga?
Maji jangwani yamekauka? Kesho msilete visingizio kwamba kelele za chura ziliwa- frustrate wachezaji wenu hadi wakashindwa kucheza!!
 
Maji jangwani yamekauka? Kesho msilete visingizio kwamba kelele za chura ziliwa- frustrate wachezaji wenu hadi wakashindwa kucheza!!

Sawa Bi.Hindu Fc.

.......Hivi kale kamjengo kenu pale kodi siku hizi bado anachukua Mzee Kilomoni au Mhindi?
 
Back
Top Bottom