Kina baba wakibongo huwa mnaogopa kina mama wajawazito?

Kina baba wakibongo huwa mnaogopa kina mama wajawazito?

Hahaha! Kabinti kanaweza kujifunza tabia mbaya! Manake bado tunabebana mgongoni na kukimbizana kama paka na panya!

hayo ya kubebana yapo, hata kwa sisi wazoefu. na watoto wanafurahia sana mkiwa mnacheza mbele yao. utasikia "dad mbebe tena mum", wanacheka na ndio furaha yao
 
Wanawake Ni Wasanii?
PakaJimmy
user_online.gif
31st July 2009, 07:41 AM
Awali nilikuwa naambiwa, lakini baadaye nikaja kuhakikisha kwamba Wanawake pindi wawapo wajawazito huwa wasumbufu saana, na wanadeka ajabu!

Mwanamke mmoja akaja kunambia kwamba huwa wanafanya hayo mambo makusudi, maana ni nafasi yao ya pekee ya kutesa, kuomba kila watakacho, na kuwaonyesha mabwana zao kwamba ile shughuli ya kubeba mimba ni ya pekee, maana wanajua kwamba wanaume hawana uzoefu, na wala hawatakaa waijue!

Ni kweli mara chache huwa wanaumwaumwa, lakini asilimia kubwa huwa ni matatizo ya kupangwa na yanaandaliwa na kupikwa kitaalam!

Je wanaJF, tudhibiti vipi hii hali ya kuonewa na hawa raia wa kike?
[/QUOTE][/QUOTE]

sijui kama kuna ukweli au uongo ..unajua inapofikia kipindi kile cha miezi saba ,,....mpaka 9 mtu unakuwa umeanza kuchoka sana yaani unaona kama dunia inakuelemea
sidhani kama ni deko ...
 
hayo ya kubebana yapo, hata kwa sisi wazoefu. na watoto wanafurahia sana mkiwa mnacheza mbele yao. utasikia "dad mbebe tena mum", wanacheka na ndio furaha yao

Lol! I think I have to buy some experience from yourself.
 
Wanawake Ni Wasanii?
PakaJimmy
user_online.gif
31st July 2009, 07:41 AM
Awali nilikuwa naambiwa, lakini baadaye nikaja kuhakikisha kwamba Wanawake pindi wawapo wajawazito huwa wasumbufu saana, na wanadeka ajabu!

Mwanamke mmoja akaja kunambia kwamba huwa wanafanya hayo mambo makusudi, maana ni nafasi yao ya pekee ya kutesa, kuomba kila watakacho, na kuwaonyesha mabwana zao kwamba ile shughuli ya kubeba mimba ni ya pekee, maana wanajua kwamba wanaume hawana uzoefu, na wala hawatakaa waijue!

Ni kweli mara chache huwa wanaumwaumwa, lakini asilimia kubwa huwa ni matatizo ya kupangwa na yanaandaliwa na kupikwa kitaalam!

Je wanaJF, tudhibiti vipi hii hali ya kuonewa na hawa raia wa kike?
[/QUOTE]

sijui kama kuna ukweli au uongo ..unajua inapofikia kipindi kile cha miezi saba ,,....mpaka 9 mtu unakuwa umeanza kuchoka sana yaani unaona kama dunia inakuelemea
sidhani kama ni deko ...[/QUOTE]

FL1, ni kweli hicho kipindi ni kigumu sana na tunahitaji care ya kutosha, lakini kuna wakati wala hujisikii vibaya ila tu unataka kutest kama mtu yupo pamoja nawe au la. ukitaka kujua ukweli chunguza wale wadada ambao hawajaolewa utawaona wanavyodunda miezi yote 9
 
kweli chaku
mie zama hizo nilkuwa na ka mood kangu leo nimeamka na furaha kesho nimenuna kila kitu kibaya mradi visa tu ...
mala mzee ashindwe kutabiri nyakati

haaa mie mwenzenu ya kwanza nilikuwa na kicrani jamani, kwanza nitakacho hata kama hakiwezekani kwa wakati huo nanuna haswaa, wacheni jamani hii mambo.
 
FL1, ni kweli hicho kipindi ni kigumu sana na tunahitaji care ya kutosha, lakini kuna wakati wala hujisikii vibaya ila tu unataka kutest kama mtu yupo pamoja nawe au la. ukitaka kujua ukweli chunguza wale wadada ambao hawajaolewa utawaona wanavyodunda miezi yote 9[/QUOTE]

mdeke bwana mana hapo ndio tunackilizwaga kikweli, watumbembeleze tu mana hawana jinc, mie nilikuwa nadeka balaa na alikuwa anaogopa kunisema mana nuna yake balaa.
 
leo nina blue monday jamani nitarudi hapa ndani kesho
FL1
 
Nimekuwa nikiangalia tofauti kati ya wanaume wa kizungu na wa kibongo the way wanavyo wa treat ,care wake ,wachumba au wapenzi wao ktk kipindi chote cha kulea ujauzito...
Kwanza anafeel kama hiyo Preg iko kwake ...kila sec anamcheck atafanya juu chini uwe na mapumziko ya kutosha ..atapapasa hilo tumbo kama vile sijui liamie kwake kumjali akiumwa kidogo ndo basi utadhani anaumwa yeye kila kona atakopita leo my wife kawa hivi mala vile na hata kazini anaweza shinda kutwa akiongea kuhusu wife ataongelea ujauzito wa mwenzi wake kwa furaha kila mala today 1 month ,2,3, 4,..9 akikaribia kujifungua ndo usiseme na akijifungua sasa mtasimuliwa nyie mpaka loh..!!

hata siwezi kuielezea hali hii ...

ila nyie wakibongo huwa mnaogopa kina mama wajawazito au mnaona ni hali ya kawaida tu??
FL1

Sio wa kibongo tunakea kupita wazungu! lazima ukimbie gengeni umnunulie udongo wapemba sijui maembe mabichi mara malimao yaani we acha tu
 
Mnanichekesha kweli mie nashukuru MUNGU mlipojaaliwa sikuwa na vibweka vyovyote tena ndo nlikuwa kama sina kitu vile kazi mtindo mmoja ha hata siku ilipofika ah kama naenda kazini vile. Na baba chanja hakuwepo kipindi chote hicho
 
Labda mmeo tu FL1. Mie wife alipokuwa na katumbo, nlikuwa sichezi naye mbali mpaka alipojifungua kabinti ketu. Hakuna raha kama kujivinjari na bibie mjamzito, unajidai naye kinoma. Dunia inajua we rijali bana. Hahahaha! Sijui tutafute katoto kengine(off point hii)
kumbe una kakike, naomba niwe mkweo mpwa, am a guboy, please accept my request
 
Nimekuwa nikiangalia tofauti kati ya wanaume wa kizungu na wa kibongo the way wanavyo wa treat ,care wake ,wachumba au wapenzi wao ktk kipindi chote cha kulea ujauzito...
Kwanza anafeel kama hiyo Preg iko kwake ...kila sec anamcheck atafanya juu chini uwe na mapumziko ya kutosha ..atapapasa hilo tumbo kama vile sijui liamie kwake kumjali akiumwa kidogo ndo basi utadhani anaumwa yeye kila kona atakopita leo my wife kawa hivi mala vile na hata kazini anaweza shinda kutwa akiongea kuhusu wife ataongelea ujauzito wa mwenzi wake kwa furaha kila mala today 1 month ,2,3, 4,..9 akikaribia kujifungua ndo usiseme na akijifungua sasa mtasimuliwa nyie mpaka loh..!!

hata siwezi kuielezea hali hii ...

ila nyie wakibongo huwa mnaogopa kina mama wajawazito au mnaona ni hali ya kawaida tu??
FL1
Alas! Kumbe ndo wazungu wanavyowahandle wajawazito!
Sasa kina baba wa kibongo tuwe tunaeleza nini kwa kazi kuhusu ujauzito wa wives?
 
Poa Msindima. Weekend ilikuwaje? Serious! Msizichukulie serious hizi blahblah za humu jamvini. Sisi waume bora kabisa. Wake zetu wako proud na sisi. Najaribu kutafakari labda tufanye mpango wa kengine. Problem uchumi. Mtu unashindwa hata kunywa kabia kwa sababu ya malezi ya watoto. Lol!

humo humo shemeji!
 
atapapasa hilo tumbo kama vile sijui liamie kwake kumjali akiumwa kidogo ndo basi utadhani anaumwa yeye kila kona atakopita leo my wife kawa hivi

Kila mtu anafurahia hali hiyo, ebu tujiulize je hiyo ni mimba ya ngapi....mapenzi lazima yatabadilika, ni sawa na mtoto wa kwanza atakunywa Lactogen, nepi nzuri, kitanda cha kusukuma na vitu vitu vizuri ila wa pili badala ya nepi mwanamke anaambiwa chana kanga kwani nani atafualitilia mtoto ni wetu
 
lakini lile tumbo kuna wakati huwa naogopa kuliangalia!mungu wa ajabu sana.siwezi nikasema natishika lakini dah!
 
kumbe una kakike, naomba niwe mkweo mpwa, am a guboy, please accept my request

kaka Chris usikubali...huyu si ndio yule mwenye ka sidanganyiki kule Moro? au ulisha kaachaga Gudboy?

huyu niece mikiki ya uke wenza hawezi ati...

FL samahani kwa kutoka nje ya mada I hope you don't mind rafiki yangu...
 
Back
Top Bottom