Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,746
Hahaha! Kabinti kanaweza kujifunza tabia mbaya! Manake bado tunabebana mgongoni na kukimbizana kama paka na panya!
hayo ya kubebana yapo, hata kwa sisi wazoefu. na watoto wanafurahia sana mkiwa mnacheza mbele yao. utasikia "dad mbebe tena mum", wanacheka na ndio furaha yao
[/QUOTE]Wanawake Ni Wasanii?
PakaJimmy31st July 2009, 07:41 AM
Awali nilikuwa naambiwa, lakini baadaye nikaja kuhakikisha kwamba Wanawake pindi wawapo wajawazito huwa wasumbufu saana, na wanadeka ajabu!
Mwanamke mmoja akaja kunambia kwamba huwa wanafanya hayo mambo makusudi, maana ni nafasi yao ya pekee ya kutesa, kuomba kila watakacho, na kuwaonyesha mabwana zao kwamba ile shughuli ya kubeba mimba ni ya pekee, maana wanajua kwamba wanaume hawana uzoefu, na wala hawatakaa waijue!
Ni kweli mara chache huwa wanaumwaumwa, lakini asilimia kubwa huwa ni matatizo ya kupangwa na yanaandaliwa na kupikwa kitaalam!
Je wanaJF, tudhibiti vipi hii hali ya kuonewa na hawa raia wa kike?
kweli chaku
mie zama hizo nilkuwa na ka mood kangu leo nimeamka na furaha kesho nimenuna kila kitu kibaya mradi visa tu ...
mala mzee ashindwe kutabiri nyakati
Nimekuwa nikiangalia tofauti kati ya wanaume wa kizungu na wa kibongo the way wanavyo wa treat ,care wake ,wachumba au wapenzi wao ktk kipindi chote cha kulea ujauzito...
Kwanza anafeel kama hiyo Preg iko kwake ...kila sec anamcheck atafanya juu chini uwe na mapumziko ya kutosha ..atapapasa hilo tumbo kama vile sijui liamie kwake kumjali akiumwa kidogo ndo basi utadhani anaumwa yeye kila kona atakopita leo my wife kawa hivi mala vile na hata kazini anaweza shinda kutwa akiongea kuhusu wife ataongelea ujauzito wa mwenzi wake kwa furaha kila mala today 1 month ,2,3, 4,..9 akikaribia kujifungua ndo usiseme na akijifungua sasa mtasimuliwa nyie mpaka loh..!!
hata siwezi kuielezea hali hii ...
ila nyie wakibongo huwa mnaogopa kina mama wajawazito au mnaona ni hali ya kawaida tu??
FL1
kumbe una kakike, naomba niwe mkweo mpwa, am a guboy, please accept my requestLabda mmeo tu FL1. Mie wife alipokuwa na katumbo, nlikuwa sichezi naye mbali mpaka alipojifungua kabinti ketu. Hakuna raha kama kujivinjari na bibie mjamzito, unajidai naye kinoma. Dunia inajua we rijali bana. Hahahaha! Sijui tutafute katoto kengine(off point hii)
Alas! Kumbe ndo wazungu wanavyowahandle wajawazito!Nimekuwa nikiangalia tofauti kati ya wanaume wa kizungu na wa kibongo the way wanavyo wa treat ,care wake ,wachumba au wapenzi wao ktk kipindi chote cha kulea ujauzito...
Kwanza anafeel kama hiyo Preg iko kwake ...kila sec anamcheck atafanya juu chini uwe na mapumziko ya kutosha ..atapapasa hilo tumbo kama vile sijui liamie kwake kumjali akiumwa kidogo ndo basi utadhani anaumwa yeye kila kona atakopita leo my wife kawa hivi mala vile na hata kazini anaweza shinda kutwa akiongea kuhusu wife ataongelea ujauzito wa mwenzi wake kwa furaha kila mala today 1 month ,2,3, 4,..9 akikaribia kujifungua ndo usiseme na akijifungua sasa mtasimuliwa nyie mpaka loh..!!
hata siwezi kuielezea hali hii ...
ila nyie wakibongo huwa mnaogopa kina mama wajawazito au mnaona ni hali ya kawaida tu??
FL1
Poa Msindima. Weekend ilikuwaje? Serious! Msizichukulie serious hizi blahblah za humu jamvini. Sisi waume bora kabisa. Wake zetu wako proud na sisi. Najaribu kutafakari labda tufanye mpango wa kengine. Problem uchumi. Mtu unashindwa hata kunywa kabia kwa sababu ya malezi ya watoto. Lol!
kumbe una kakike, naomba niwe mkweo mpwa, am a guboy, please accept my request
lakini lile tumbo kuna wakati huwa naogopa kuliangalia!mungu wa ajabu sana.siwezi nikasema natishika lakini dah!