BAGAH JF-Expert Member Joined Jan 17, 2012 Posts 4,523 Reaction score 1,060 Aug 17, 2012 #21 hee! mbona tayari kitu imegeukia KIBRA chinjaaa!!
BAGAH JF-Expert Member Joined Jan 17, 2012 Posts 4,523 Reaction score 1,060 Aug 17, 2012 #22 sahihi said: mimi ni mtu wa rika ya kuoa, nimemzidi kama miaka 6 ivi, Click to expand... hujajibu swali... unataka msaada so toa ushirikiano sahihi Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
sahihi said: mimi ni mtu wa rika ya kuoa, nimemzidi kama miaka 6 ivi, Click to expand... hujajibu swali... unataka msaada so toa ushirikiano sahihi
Comi JF-Expert Member Joined Oct 2, 2011 Posts 3,328 Reaction score 958 Aug 18, 2012 #23 hongera kijana its real dada kakuzimia na anawish ungekua wake but take care
Asulo JF-Expert Member Joined Jun 25, 2012 Posts 719 Reaction score 252 Aug 18, 2012 #24 Kwa hizo dalili inaojionesha dhahiri kuwa amekuchagua,ndo maana anasema mwingine hawezi. Ila mkuu vuta subira si unajua mambo mazuri hayataki.......,
Kwa hizo dalili inaojionesha dhahiri kuwa amekuchagua,ndo maana anasema mwingine hawezi. Ila mkuu vuta subira si unajua mambo mazuri hayataki.......,
S sahihi Member Joined Aug 13, 2012 Posts 26 Reaction score 2 Aug 19, 2012 Thread starter #25 Asulo said: Kwa hizo dalili inaojionesha dhahiri kuwa amekuchagua,ndo maana anasema mwingine hawezi. Ila mkuu vuta subira si unajua mambo mazuri hayataki......., Click to expand... Na jana kaniambia hajawahi kumkubali mwanaume yoyote..., nafikiri nisikae tuu bai nami niwe napiga step mojamoja kwake.
Asulo said: Kwa hizo dalili inaojionesha dhahiri kuwa amekuchagua,ndo maana anasema mwingine hawezi. Ila mkuu vuta subira si unajua mambo mazuri hayataki......., Click to expand... Na jana kaniambia hajawahi kumkubali mwanaume yoyote..., nafikiri nisikae tuu bai nami niwe napiga step mojamoja kwake.