Kina dada hata kina kaka naombeni msaada

Kina dada hata kina kaka naombeni msaada

hee!
mbona tayari kitu imegeukia KIBRA
chinjaaa!!
 
hongera kijana its real dada kakuzimia na anawish ungekua wake but take care
 
Kwa hizo dalili inaojionesha dhahiri kuwa amekuchagua,ndo maana anasema mwingine hawezi.
Ila mkuu vuta subira si unajua mambo mazuri hayataki.......,
 
Kwa hizo dalili inaojionesha dhahiri kuwa amekuchagua,ndo maana anasema mwingine hawezi.
Ila mkuu vuta subira si unajua mambo mazuri hayataki.......,
Na jana kaniambia hajawahi kumkubali mwanaume yoyote..., nafikiri nisikae tuu bai nami niwe napiga step mojamoja kwake.
 
Back
Top Bottom