Kina dada humu JF Mnaoficha profile zenu tatizo mini?

toriyama

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2014
Posts
1,139
Reaction score
2,223
Kwakweli sielewi elewi. Unatakaa ufatilie thread za MTU flani humu. Member. Unakuta kaweka limits....
Huwezi kuona thread zao.
Wala kuanzisha conversion. Tatizo nini ?
Hata kina Dada. Au mnaogopa kuibiwa tena ?
Jamani badilikeni. Kidogo wengine tunapenda thread zenu. Halafu mnazificha ..
..

Tukaribisheni PM na sisi
 
Nimecheka eti mkaribishwe PM lol. [emoji23] [emoji23].

Ila kwa upande wangu sioni kama kuna tatizo Mkuu sababu kila Member ndio mmiliki wa Id na kila kinachoizunguka hiyo Id yake na ana maamuzi kufanya kile ambacho kiko sahihi kwake na sidhani kama yana shida yeyote.

Nionavyo we zungumza na wale ambao una shida na hizo sijui nyuzi zao wawe wanakufungulia japo kwa mda mchache ili upate kusoma hizo nyuzi zao Mkuu.
 
Hapana sio sawa
Endapo ameolewa ikitokea Mzee amepitia comments ndo chanzo cha kutolewa nundu
 
Any way
Nachukulia hajaolewa na anahitaji wam keep busy

Lakini wanawake wengi wanaogopa sasa sijui yeye imekuaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…