Baba wa Mapaka
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 1,827
- 1,655
Ndiyo naunga mkono japo kwa kivuli cha diniOooh. Hivyo hukubaliani na hao walioweka limit kwenye Profile zao kufungua ili watu wenye lengo kama la mleta uzi wakaribie. Si eti eee?
Oooh. Sawa Mkuu.Ndiyo naunga mkono japo kwa kivuli cha dini
uislamu hauruhusu
Kwa sababu ni kero sana japo mimi wa kiume ila huwa naskia wadada wakisema hivyo
Kwa mtazamo wako je?Oooh. Sawa Mkuu.
Nawe ufuate nyayoEwaaaaaaa. Okoa jahazi Mwaya.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hahahaaa. Hapana banaaaa.Nawe ufuate nyayo
Kaona uchoyo sio mzuriHahahaaa. Hapana banaaaa.
Ujue ye mwenyewe kasema sio mchoyo.
Yeye si mchoyo !Hahahaaa. Hapana banaaaa.
Ujue ye mwenyewe kasema sio mchoyo.
Hahahaaa. Kwa mtazamo wangu kila mmoja na chaguo lake anayeona kufunga ka mie ni sawa ye afunge tu na anayeona kuacha wazi na awache tu sababu kila mmoja ana namna ya upokeaji wa huo tunaoita usumbufu wa watu huko PM.Kwa mtazamo wako je?
Hahahaaa. Etiiiii. [emoji85]Kaona uchoyo sio mzuri
Kasema hivyo ndio.Yeye si mchoyo !
Kweli maana haingii gharama ya kukitafuta kitu kipo tokea enziHahahaaa. Etiiiii. [emoji85]
HahahaHahahaaa. Kwa mtazamo wangu kila mmoja na chaguo lake anayeona kufunga ka mie ni sawa ye afunge tu na anayeona kuacha wazi na awache tu sababu kila mmoja ana namna ya upokeaji wa huo tunaoita usumbufu wa watu huko PM.
Hahahaaaa. Kwa kweli.Kweli maana haingii gharama ya kukitafuta kitu kipo tokea enzi
Hakichakai matunzo chapataHahahaaaa. Kwa kweli.
Ila mbali ya kutoingia gharama kuna kukichakaza pia japokuwa huenda ikawa hajawaza kama kinaeza kuchakaa. [emoji85]
Ndiyo naunga mkono japo kwa kivuli cha dini
uislamu hauruhusu
Kwa sababu ni kero sana japo mimi wa kiume ila huwa naskia wadada wakisema hivyo
Hahahaaaaa. Na kweli aisee.Hahaha
Inategemea ukiwa ile wasambaa wanaita bonge la chole kwa maana ukiwa mzuri siku zote utasumbuliwa tu huwezi kuachwa
Hahahaaa. Lol. Nimejikuta nacheka kwa sauti. Duuh.Hakichakai matunzo chapata