Kina dada humu JF Mnaoficha profile zenu tatizo mini?

Hajar hata wewe pia..

member limits who may view their full profile
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lol. Kumbe kwenye wale wanaopaswa kuniona na weye haumo lol. Pole bana.

Ila mie nina uzi mmoja hivyo sina hasara kutoniona.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahaaaa. Mtoto huu ni zaidi ya uchokozi ujue.

Hapana kwani mie kila nikijiangalia huu upande wa Wachoyo ndio saizi yangu. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huo ni ubaya maana rasilimali haziwezi kuwa endelevu kwa kuwa zimefichwa, we tupiamo tu pm 1
 
Hahahaaaa. Kwa kweli.

Ila mbali ya kutoingia gharama kuna kukichakaza pia japokuwa huenda ikawa hajawaza kama kinaeza kuchakaa. [emoji85]
Chagua jibu sahihi;

A. Kinachakaa kwa kutumika sana. B. Kinachakaa kwa kutokutumika kabisa. C. Kinachaa kwa kutumika na wengi.
D. Kinachakaa kwa umri
 
tatizo mkiwala mnakuja kutangaza humu, acha wafunge pm zao kabisa


Hizo tabia ni za wanaume wa dar. Wa mikoani hatunaga mambo hayoo..

Sie ni kimya kimya tu... Tunasepa na kijiji
 
Hahahaaa. Nsharudi tayari Sesten. [emoji85]

Haya [emoji101] [emoji101]
Nikupe ripoti yako mbele ya kadamansi(hili neno sijui kama latumika sikuhizi) au unifate ofisini kwangu kwa mda wako maana mtihani wa mtu ni siri yake na mwlimu wake ujueπŸ˜‰πŸ™‚πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…