Kina dada jifunzeni kuwa na aibu.

Kina dada jifunzeni kuwa na aibu.

Tuko

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Posts
11,180
Reaction score
7,346
Kati ya matendo yatakayokufanya uonekane mhuni ni pale mdada unapoingia faragha kwa mara ya kwanza na mpenzi wako, then gafla unakuwa wa kwanza kuvua na kubaki mtupu. Kama uko kwenye biashara sawa, au kama mmeshazoeana na si mara kwanza najua wengi wakifika faragha wanapenda kwenda kujisafi kwanza. Lakini unakuta ni mpenz, halafu mara ya kwanza, kila mmoja ana shauku na mwenzie, then mkiingia gest, ile tu unarudishia mlango ukigeuka unamkuta yupo kama alivyozaliwa! Hata ham inaisha.
 
Unachekesha.
Msichana mwenyewe ushampeleka gesti. . .aibu ya nini?
Kama unataka AIBU mpeleke kwako kuonyesha na wewe unamheshimu. Sio unampeleka sehemu ambayo ni maalum watu kungonoka alafu unadai sio biashara. Si wote mnajua mlichofuata pale? Ya nini kupotezeana muda sasa?
 
Kwa hiyo kama sina aibu nijifunze kuwa na aibu kwa sababu nakutana na mtu mara ya kwanza faragha?? :thinking:
 
hao ndio wenyewe bana...kitu fasta tumekuja kuenjoy hapa sio kuangaliana
 
Unachekesha.
Msichana mwenyewe ushampeleka gesti. . .aibu ya nini?
Kama unataka AIBU mpeleke kwako kuonyesha na wewe unamheshimu. Sio unampeleka sehemu ambayo ni maalum watu kungonoka alafu unadai sio biashara. Si wote mnajua mlichofuata pale? Ya nini kupotezeana muda sasa?

hapo umenena dada!!!
 
duh, mnapenda feki mno, hata aibu ziwe feki, manyonyo feki, makalio feki, nywele feki, macho feki, rangi ya ngozi feki.

feki relationships haziwezi dumu.
 
Kati ya matendo yatakayokufanya uonekane mhuni ni pale mdada unapoingia faragha kwa mara ya kwanza na mpenzi wako, then gafla unakuwa wa kwanza kuvua na kubaki mtupu. Kama uko kwenye biashara sawa, au kama mmeshazoeana na si mara kwanza najua wengi wakifika faragha wanapenda kwenda kujisafi kwanza. Lakini unakuta ni mpenz, halafu mara ya kwanza, kila mmoja ana shauku na mwenzie, then mkiingia gest, ile tu unarudishia mlango ukigeuka unamkuta yupo kama alivyozaliwa! Hata ham inaisha.

kweli kitendo cha kufikishwa gesti aibu tena haipo humo mlipopita gesti kila mtu anajua mnaenda ku-do halafu unategemea aibu ya nini wakati imeishia njiani. watu tunatofautiana kweli kwanza kitendo cha mimi kupelekwa gest lengo kuu kungonoka naona kama umenifananisha na changu hivi.
 
Mazee huoni aibu kuwataka kinadada waone aibu?
 
sasa mlienda faragha kufanya nini?
Kwa nini Aone aibu kuvua nguo wakati tendo lenyewe linafanyika bila nguo?
 
Unachekesha.
Msichana mwenyewe ushampeleka gesti. . .aibu ya nini?
Kama unataka AIBU mpeleke kwako kuonyesha na wewe unamheshimu. Sio unampeleka sehemu ambayo ni maalum watu kungonoka alafu unadai sio biashara. Si wote mnajua mlichofuata pale? Ya nini kupotezeana muda sasa?

yaani baada ya kushukuru kasaidiwa analala kwel tupo tofauti.

ndetichia like this.
 
Kati ya matendo yatakayokufanya uonekane mhuni ni pale mdada unapoingia faragha kwa mara ya kwanza na mpenzi wako, then gafla unakuwa wa kwanza kuvua na kubaki mtupu. Kama uko kwenye biashara sawa, au kama mmeshazoeana na si mara kwanza najua wengi wakifika faragha wanapenda kwenda kujisafi kwanza. Lakini unakuta ni mpenz, halafu mara ya kwanza, kila mmoja ana shauku na mwenzie, then mkiingia gest, ile tu unarudishia mlango ukigeuka unamkuta yupo kama alivyozaliwa! Hata ham inaisha.

wewe ongea na huyo uliye naye mwambie kubaki na manguo ndio kinachokuturn ON,usilazimishe mambo yako unayotenda faragha yawe kwa kila mmoja!.........labda kashazoea kwa wengine kufika tu ni kuvua nguo direct lol,.mfundishe taratibu mapenzi ni sanaa tunayojifunza taratibu hakuna ambaye amezaliwa anajua....
 
Kati ya matendo yatakayokufanya uonekane mhuni ni pale mdada unapoingia faragha kwa mara ya kwanza na mpenzi wako, then gafla unakuwa wa kwanza kuvua na kubaki mtupu. Kama uko kwenye biashara sawa, au kama mmeshazoeana na si mara kwanza najua wengi wakifika faragha wanapenda kwenda kujisafi kwanza. Lakini unakuta ni mpenz, halafu mara ya kwanza, kila mmoja ana shauku na mwenzie, then mkiingia gest, ile tu unarudishia mlango ukigeuka unamkuta yupo kama alivyozaliwa! Hata ham inaisha.
Kuna kuzidiana kwa hamu aliyemzidi mwenziwe basi atatangulia kuonyesha hamu yake. Halafu hata mwanamke akikubali kuingia gesti si nyote mnajuwa nini kinachofuata? Mwanamke nae anaweza akiwezeshwa!
 
Kwa hiyo kama sina aibu nijifunze kuwa na aibu kwa sababu nakutana na mtu mara ya kwanza faragha?? :thinking:

Wale wale waliokunywa uji wa mgonjwa...
 
duh, mnapenda feki mno, hata aibu ziwe feki, manyonyo feki, makalio feki, nywele feki, macho feki, rangi ya ngozi feki.

feki relationships haziwezi dumu.

U have said it all! Salute!
 
Unachekesha.
Msichana mwenyewe ushampeleka gesti. . .aibu ya nini?
Kama unataka AIBU mpeleke kwako kuonyesha na wewe unamheshimu. Sio unampeleka sehemu ambayo ni maalum watu kungonoka alafu unadai sio biashara. Si wote mnajua mlichofuata pale? Ya nini kupotezeana muda sasa?

Wewe ushawahi kupelekwa gesti?

Wewe una aibu?
 
duh, mnapenda feki mno, hata aibu ziwe feki, manyonyo feki, makalio feki, nywele feki, macho feki, rangi ya ngozi feki.

feki relationships haziwezi dumu.

Nimekugonga like kwa kimobitel. Its gr8. Lets a person be real. . .
 
She is being open to herself anataka ile kitu inapenda moyo fasta. Sasa kosa liko wapi?
 
sasa ungetaka kuonewa aibu si ungeenda kwenu huko kijijini ukatafuta mtoto wa shangazi yako?
 
Back
Top Bottom