Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,298
Mazee huoni aibu kuwataka kinadada waone aibu?
Kuna tofauti baina ya aibu na haya.
Tukienda kimtazamo wake wa kimfumo dume, kumvulia mwanamme nguo haraka ni jambo la aibu. Sasa sijui anatakaje wanawake wawe na aibu ili waache jambo la hilo la aibu
Haeleweki!