Kina dada jifunzeni kuwa na aibu.

Kina dada jifunzeni kuwa na aibu.

Mazee huoni aibu kuwataka kinadada waone aibu?

Kuna tofauti baina ya aibu na haya.

Tukienda kimtazamo wake wa kimfumo dume, kumvulia mwanamme nguo haraka ni jambo la aibu. Sasa sijui anatakaje wanawake wawe na aibu ili waache jambo la hilo la aibu

Haeleweki!
 
kweli kitendo cha kufikishwa gesti aibu tena haipo humo mlipopita gesti kila mtu anajua mnaenda ku-do halafu unategemea aibu ya nini wakati imeishia njiani. watu tunatofautiana kweli kwanza kitendo cha mimi kupelekwa gest lengo kuu kungonoka naona kama umenifananisha na changu hivi.

NA wanaopelekwa mashamba ya mihogo?
 
[HQUOTE=Jestina;3527769]wewe ongea na huyo uliye naye mwambie kubaki na manguo ndio kinachokuturn ON,usilazimishe mambo yako unayotenda faragha yawe kwa kila mmoja!.........labda kashazoea kwa wengine kufika tu ni kuvua nguo direct lol,.mfundishe taratibu mapenzi ni sanaa tunayojifunza taratibu hakuna ambaye amezaliwa anajua....[/QUOTE]

Kweli Jestina hakuna aliyezaliwa anajua,mwenyewe hapa natafuta WA kunipa twisheni weekend hi I,any volunteer?
 
hivi
hivi wewe huoni aibu kwenda gesti? wewe na huo mlupo wako wote ni walewale iyo courage tu ya kuingia gesti mliyo nayo mnaweza hata kuvua nguo barabarani kabla hamjafika mkaziacha reception.
never on earth nitaingia gesti mimi
never
Hivi jf humu kuna mtu hajawahi kunongoneka kwenye kichaka,gesti au hotel I? Let us be sincere jamani.
Mkiwa safari mnanongoneka wapi?
 
Kati ya matendo yatakayokufanya uonekane mhuni ni pale mdada unapoingia faragha kwa mara ya kwanza na mpenzi wako, then gafla unakuwa wa kwanza kuvua na kubaki mtupu. Kama uko kwenye biashara sawa, au kama mmeshazoeana na si mara kwanza najua wengi wakifika faragha wanapenda kwenda kujisafi kwanza. Lakini unakuta ni mpenz, halafu mara ya kwanza, kila mmoja ana shauku na mwenzie, then mkiingia gest, ile tu unarudishia mlango ukigeuka unamkuta yupo kama alivyozaliwa! Hata ham inaisha.

Binafsi sipendi mwanamke anaejivunga,sitaki nataka,kwa hiyo binti wa aina hii ndo atanishika sana,sababu anajua anachotaka na haoni aibu kukifuata.
 
Huenda aliamini kwa kufanya hivyo ndo atakufurahisha,au unataka wale wanaotaka kuvulia/kufanyia gizani mwenzetu?
 
Unachekesha.
Msichana mwenyewe ushampeleka gesti. . .aibu ya nini?
Kama unataka AIBU mpeleke kwako kuonyesha na wewe unamheshimu. Sio unampeleka sehemu ambayo ni maalum watu kungonoka alafu unadai sio biashara. Si wote mnajua mlichofuata pale? Ya nini kupotezeana muda sasa?

kama umesoma mawazo yangu vile.
 
mimi ilinitokea ile tumeingia tu mahala mara bint kaenda choon kukata gogo,si unajuwa mambo ya self,ile harufu yote ikarudi chumbani huwez amini nyege zote zilikatika,kaz kwel kwel
 
Kati ya matendo yatakayokufanya uonekane mhuni ni pale mdada unapoingia faragha kwa mara ya kwanza na mpenzi wako, then gafla unakuwa wa kwanza kuvua na kubaki mtupu. Kama uko kwenye biashara sawa, au kama mmeshazoeana na si mara kwanza najua wengi wakifika faragha wanapenda kwenda kujisafi kwanza. Lakini unakuta ni mpenz, halafu mara ya kwanza, kila mmoja ana shauku na mwenzie, then mkiingia gest, ile tu unarudishia mlango ukigeuka unamkuta yupo kama alivyozaliwa! Hata ham inaisha.

Naona wewe umezoea kubaka
 
mimi ilinitokea ile tumeingia tu mahala mara bint kaenda choon kukata gogo,si unajuwa mambo ya self,ile harufu yote ikarudi chumbani huwez amini nyege zote zilikatika,kaz kwel kwel

Hahahaha unacheza na misosi ya uswazi wewe utakuwa ulimpiga bufee ya kufa mtu ndo maana tumbo likavuluga akapitiliza chooni kukata gogo kwanza
 
Hapa ndo napoona wanawake tuna kazi! sasa siku umeisubiria kwa hamu muda mrefu mtu alikuwa ana hamu nawewe yeye haruhusiwi kuonyesha hisia zake?
 
mimi ilinitokea ile tumeingia tu mahala mara bint kaenda choon kukata gogo,si unajuwa mambo ya self,ile harufu yote ikarudi chumbani huwez amini nyege zote zilikatika,kaz kwel kwel

bora aliwahi chooni
sasa mkuu angelibana
halafu aje akatie katikati ya game
ingekua mbaya zaidi
 
Kati ya matendo yatakayokufanya uonekane mhuni ni pale mdada unapoingia faragha kwa mara ya kwanza na mpenzi wako, then gafla unakuwa wa kwanza kuvua na kubaki mtupu. Kama uko kwenye biashara sawa, au kama mmeshazoeana na si mara kwanza najua wengi wakifika faragha wanapenda kwenda kujisafi kwanza. Lakini unakuta ni mpenz, halafu mara ya kwanza, kila mmoja ana shauku na mwenzie, then mkiingia gest, ile tu unarudishia mlango ukigeuka unamkuta yupo kama alivyozaliwa! Hata ham inaisha.

1. Aibu haifundishwi
2. kuingia faragha na mpenzi wako kwa mara ya kwanza na kuvua fasta si uhuni.
3. inaonekana unapenda kumuandaa mpenzi wako kwa kumvua nguo mwenyewe, ungemuelekeza tu kuwa asivue akusubiri.
 
mimi ilinitokea ile tumeingia tu mahala mara bint kaenda choon kukata gogo,si unajuwa mambo ya self,ile harufu yote ikarudi chumbani huwez amini nyege zote zilikatika,kaz kwel kwel

Hahahaaa huyo nae! labda alizidiwa jamani so hazikurudi tena?
 
Back
Top Bottom