Unachekesha.
Msichana mwenyewe ushampeleka gesti. . .aibu ya nini?
Kama unataka AIBU mpeleke kwako kuonyesha na wewe unamheshimu. Sio unampeleka sehemu ambayo ni maalum watu kungonoka alafu unadai sio biashara. Si wote mnajua mlichofuata pale? Ya nini kupotezeana muda sasa?
Hata kama utaingia utakuja sema hapa umeingia.hivi wewe huoni aibu kwenda gesti? wewe na huo mlupo wako wote ni walewale iyo courage tu ya kuingia gesti mliyo nayo mnaweza hata kuvua nguo barabarani kabla hamjafika mkaziacha reception.
never on earth nitaingia gesti mimi
never
sasa ungetaka kuonewa aibu si ungeenda kwenu huko kijijini ukatafuta mtoto wa shangazi yako?
hivi wewe huoni aibu kwenda gesti? wewe na huo mlupo wako wote ni walewale iyo courage tu ya kuingia gesti mliyo nayo mnaweza hata kuvua nguo barabarani kabla hamjafika mkaziacha reception.
never on earth nitaingia gesti mimi
never
Hata kama utaingia utakuja sema hapa umeingia.
Kati ya matendo yatakayokufanya uonekane mhuni ni pale mdada unapoingia faragha kwa mara ya kwanza na mpenzi wako, then gafla unakuwa wa kwanza kuvua na kubaki mtupu. Kama uko kwenye biashara sawa, au kama mmeshazoeana na si mara kwanza najua wengi wakifika faragha wanapenda kwenda kujisafi kwanza. Lakini unakuta ni mpenz, halafu mara ya kwanza, kila mmoja ana shauku na mwenzie, then mkiingia gest, ile tu unarudishia mlango ukigeuka unamkuta yupo kama alivyozaliwa! Hata ham inaisha.
hapo anazungumzia kuingia kungonokaHUjawahi kusafiri?. Hivi ukisafiri unalala wapi?
Guest House = Nyumba za wageni
hapo anazungumzia kuingia kungonoka
Mheshimiwa, wanawake ni wanadamu, umeshamsema mna shauku sasa kwanini udhani wewe unashauku zaidi yake.Kati ya matendo yatakayokufanya uonekane mhuni ni pale mdada unapoingia faragha kwa mara ya kwanza na mpenzi wako, then gafla unakuwa wa kwanza kuvua na kubaki mtupu. Kama uko kwenye biashara sawa, au kama mmeshazoeana na si mara kwanza najua wengi wakifika faragha wanapenda kwenda kujisafi kwanza. Lakini unakuta ni mpenz, halafu mara ya kwanza, kila mmoja ana shauku na mwenzie, then mkiingia gest, ile tu unarudishia mlango ukigeuka unamkuta yupo kama alivyozaliwa! Hata ham inaisha.
Thanks Lizzy for this useful post.Unachekesha.
Msichana mwenyewe ushampeleka gesti. . .aibu ya nini?
Kama unataka AIBU mpeleke kwako kuonyesha na wewe unamheshimu. Sio unampeleka sehemu ambayo ni maalum watu kungonoka alafu unadai sio biashara. Si wote mnajua mlichofuata pale? Ya nini kupotezeana muda sasa?