Yeth lottah
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 1,405
- 2,229
Sijapewa nilizaliwa nayoMbona kujua ni easy.
Wewe ulipewa stakabadhi ya hiko kidude chako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijapewa nilizaliwa nayoMbona kujua ni easy.
Wewe ulipewa stakabadhi ya hiko kidude chako?
Ushaelewa tyari. Safi sana kuwaelekeza watu wenye akili kubwa kama wewe.Sijapewa nilizaliwa nayo
Kwaiyo mungu usimuhusisheUshaelewa tyari. Safi sana kuwaelekeza watu wenye akili kubwa kama wewe.
Nakusubiri madanga hapaUshaelewa tyari. Safi sana kuwaelekeza watu wenye akili kubwa kama wewe.
Hehe mimi niko mwembeni nishapita na iga ufeNakusubiri madanga hapa
Wahi utanikuta bozaNakusubiri madanga hapa
HahahahhaHehe mimi niko mwembeni nishapita na iga ufe
Haya boza juu au hapo karibu na njia ya kimang'aWahi utanikuta boza
Shemeji yako huyo punguza maneno bac utakosa mke shaur yakoKwaiyo mungu usimuhusishe
Hehe hapa karibu na barabara ya kwenda mkoma kule kwa DCHaya boza juu au hapo karibu na njia ya kimang'a
Yuko wapi ninong'neze?Shemeji yako huyo punguza maneno bac utakosa mke shaur yako
Khaaaaa sasa ukifika Pangani beach resolt piga hodi utanikutaHehe hapa karibu na barabara ya kwenda mkoma kule kwa DC
[emoji54] daudthefamerYuko wapi ninong'neze?
[emoji15] nidanganye tu[emoji54] daudthefamer
Shauri yako sasa endelea kumjibujibu[emoji15] nidanganye tu
Yaani hapa mjini sikai sana nawahi kuvuka pale feri niende kipumbwi kesho naingia zangu unguja heheeheKhaaaaa sasa ukifika Pangani beach resolt piga hodi utanikuta
Hahaaaaa hahaaaa daahhh wewe jamaaa akili zkoHawa jamaa wa bodaboda akikubeba wanakuongelesha,Halafu husikii kwa sababu ya upepo..unabakia kuitikia eeeh eeh ,ndio ndioo*
*Unaeza jikuta umekubali kuolewa hivi hiv bila kujijua...Nikupeleleke gheto ndio...eeh