Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,053
- 3,259
Wakaka hawaonekani huyu jamaa umaruhani wake tu.Wakaka mazoezi yao kando ya barabara ni sawa gym zinakua zimejaa??
Hakuna mazingira mwanaume anaweza vaa nguo Itakayoleta Usumbufu Kwa Mtu mwngine , epecially linapofika vazi la Mazoezi.Wakaka mazoezi yao kando ya barabara ni sawa gym zinakua zimejaa??
Mi naona ni maua pembeni ya barabara..... at least tunapata something new to stare atHii sasa imegeuka kama Style Flani hivi kwa Sasa , na hii inafanyika Mikoa Mikubwa Especially Dsm and Arusha .
Kina Dada wamegeuza Sehemu hiyo kua Fursa ya Kufanya Ufuska wao mwengine.
Mtu unajiuliza Gym hakuna ? Basi kama Gym Gharama , Hakuna maeneo Special kwa Ajili ya Hayo Mazoezi ? .au labda Kukimbia Barabarani kunaongeza Ufanisi Wa mazoezi ?
Sasa Tazama nguo wanazovaa Vs Maumbilie yao , Tazama maeneo ya Barabara wanapofanyia hayo mazoezi, Tazama na Muda pia.. kisha Jumlisha, unipe Jibu.
Mm Hesabu zangu zimeniletea Majibu Mazuri , "mazoezi barabarani ni njia ya Kina Dada kujipatia Wanaume. (Huwenda Sio wote)
π π π njooJamani Darisalama kutamu..sasa na hii style imeanza lini?..da ngoja nizichange nirudi mjini walahi..yaani vituko ni bampa 2 bampa..
Wengi wakosa kaziiiiSijui kwanini wabongo wanawaza ngono tu