Hii sasa imegeuka kama Style Flani hivi kwa Sasa , na hii inafanyika Mikoa Mikubwa Especially Dsm and Arusha .
Kina Dada wamegeuza Sehemu hiyo kua Fursa ya Kufanya Ufuska wao mwengine.
Mtu unajiuliza Gym hakuna ? Basi kama Gym Gharama , Hakuna maeneo Special kwa Ajili ya Hayo Mazoezi ? .au labda Kukimbia Barabarani kunaongeza Ufanisi Wa mazoezi ?
Sasa Tazama nguo wanazovaa Vs Maumbilie yao , Tazama maeneo ya Barabara wanapofanyia hayo mazoezi, Tazama na Muda pia.. kisha Jumlisha, unipe Jibu.
Mm Hesabu zangu zimeniletea Majibu Mazuri , "mazoezi barabarani ni njia ya Kina Dada kujipatia Wanaume. (Huwenda Sio wote)