Kina dada: Mazoezi yenu kando ya barabara ni ufuska mtupu

Kina dada: Mazoezi yenu kando ya barabara ni ufuska mtupu

Kwani usiwaangalia na kuwapatiliza itakupunguzia nini?
 
Mbona wachina wanavaa mabuga kwenye kung fu Na mtizi upo fresh tu? Hao wanatafuta mabwana tu mbona hawafanyi mazoez mwaka mzima maana yake akipata bwana anasepa
Af mnijuze huko saudi wanapasha Na hijab au n veeeepe
 
Mimi ambaye ni bachelor huwa nafurahi sana kuwaona maeneo ya barabara ya Mbuyuni mpaka Africana pale,wapo weupe,wapo weusi,wenye chura na wasio na chura!

Raha sana,yaani we acha tu!!!
Ikifika mida ya jioni jioni kama saa kumi vile,mdogo mdogo naanza kusogea ili kujionea mavitu ya bure bure! 🙂
😀 😀 😀 😀
kumbe huwa unaniona mkuu huwa naanzia tank bovu naenda mbezi ya chini kule napandishia pale junction ya kawe
 
mbona sijawahi kuona haya mazoezi tandale ,manzese,kimara ,tandika au huku hakuna wadada
 
kumbe huwa unaniona mkuu huwa naanzia tank bovu naenda mbezi ya chini kule napandishia pale junction ya kawe
😀 😀 😀 😀 huwa unanisuuza mtima wangu sana,unatikisika kama maini kwenye mfuko wa rambo 😀 😀
 
Hii sasa imegeuka kama style flani hivi kwa sasa na hii inafanyika mikoa mikubwa especially Dar na Arusha. Kina dada wamegeuza sehemu hiyo kua fursa ya kufanya ufuska wao mwingine. Mtu unajiuliza gym hakuna? Basi kama gym gharama, hakuna maeneo special kwa ajili ya hayo mazoezi?

Au labda kukimbia barabarani kunaongeza ufanisi wa mazoezi? Sasa tazama nguo wanazovaa vs maumbilie yao, tazama maeneo ya barabara wanapofanyia hayo mazoezi, tazama na muda pia. Kisha jumlisha, unipe jibu.

Mimi hesabu zangu zimeniletea majibu mazuri, "Mazoezi barabarani ni njia ya kina dada kujipatia wanaume. (huwenda sio wote)
Wanauame wanaofanya mazoezi barabarani haujawaona?
Sisi wanaume sijui tuna mapepo, yaani kumwona mwanamke anakimbia barabarani tu ushamdhania vibaya?!! Ubaradhuli.
 
Nilikua napenda kupita barabara ya UDSM kila siku jionk,nilikua najiokotea watoto wabichi wa chuo. Siku hizi hawaonekani tena.
 
Kwa bahati nzuri ninaishi ndani ya mkoa mojwapo wa hiyo uliyoitaja na huwa nafanya road run jioni baada ya kazi.

Umeuliza kama gym hazipo ama? Road run ni zoezi zuri zaidi kwani unapokimbia misuli karibu yoye ya mwili inakua inafanya kazi. Pia road run ni refreshing maana una hewa ya kutosha tofauti na gym penye mrudikano wa watu, na pengine inatumika AC.

Kuhusu mavazi, nguo za mazoezi ndivyo zilivyo, mara nyingi zinakua za kubana mwili.
 
Dah! Huwa wananipa wakati mgumu sana natamanigi niwape lifti sijui hua wanaishia wapi ngoja kesho kuna mmoja ntamalizana nae maana kila siku na muona either ana rudi ama anaenda ss sijui anaanzia wapi anaishia wapi anageukia wapi ila kesho naleta mrejesho
 
Back
Top Bottom