bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,689
Inzi kufia kwenye kidonda siyo haramu..[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji38] [emoji12] achaga tamaa utakuja ufe wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inzi kufia kwenye kidonda siyo haramu..[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji38] [emoji12] achaga tamaa utakuja ufe wewe
Sijui kwanini wabongo wanawaza ngono tu
Weka picha ili tuone kama hayo unayosema ni kweli
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji38] [emoji38] haki una pepo la ngonoSiyo vyura tu, kuna wakati kitumbua kabisa unakiona etii kimefichwa kidogo tu, siku uzalendo ulinishinda nikatoa lifti afu kakaa mbele kila mara najikuta nimehama barabarani na kupigiwa honi...[emoji12] [emoji12]
Hii sasa imegeuka kama style flani hivi kwa sasa na hii inafanyika mikoa mikubwa especially Dar na Arusha. Kina dada wamegeuza sehemu hiyo kua fursa ya kufanya ufuska wao mwingine. Mtu unajiuliza gym hakuna? Basi kama gym gharama, hakuna maeneo special kwa ajili ya hayo mazoezi?
Au labda kukimbia barabarani kunaongeza ufanisi wa mazoezi? Sasa tazama nguo wanazovaa vs maumbilie yao, tazama maeneo ya barabara wanapofanyia hayo mazoezi, tazama na muda pia. Kisha jumlisha, unipe jibu.
Mimi hesabu zangu zimeniletea majibu mazuri, "Mazoezi barabarani ni njia ya kina dada kujipatia wanaume. (huwenda sio wote)
Ni shidaaaaKama hawasababishi ajari waendelee tu
Hakuna mazingira mwanaume anaweza vaa nguo Itakayoleta Usumbufu Kwa Mtu mwngine , epecially linapofika vazi la Mazoezi.
Nitakupa zawadiKama umeshazoea kutembelea swimming pool, hakuna mavazi ya mwanadada yatakayokusumbua tena!