Kina dada: Mazoezi yenu kando ya barabara ni ufuska mtupu

Kina dada: Mazoezi yenu kando ya barabara ni ufuska mtupu

Nilipitaga pale Mlimani City siku moja kulikuwa na foleni,nikaamua nitembee kwa miguu mpaka Ubungo.Aisee yani pale kweli wapo kazini,unakuta mzigo huo umewamba kwenye tight,huku kwa mbele mpaka michoro ya K aka Camel toe inaoneka.

Yaani kile kipande kutembea tu nahisi nilitumia zaidi ya lisaa.
 
Ukipita viunga vya UDSM alfajiri-asubuhi na jioni/usiku. Utashuhudia kinadada wakiwa wanafanya jogging pembezon mwa barabara aisee ni full-mitego. Mtu anajibana mpaka ramani ya Makao Makuu yanaonekana. Wengine mpaka chachandu zinaruka-ruka. Mpaka mtu unajiuliza haya mazoezi ama Sokoni?
Story kama hii bila supporting document ni usaliti kwa wasomaji
 
Ukitegwa, wewe unategua. Usikubali kunaswa na hiyo mitego. Zamani, yale tuliyokuwa tunayaona faraghani kwa wanawake, siku hizi yanaonekana hadharani. Hawajali wala hawaoni aibu. Hiki ndiyo kizazi tulichonacho sasa. Mungu atuhurumie
 
Muhimu wewe tazama mishe zako. Mambo kama mbele siku hizi. Mm mwenyewe nakimbiaga sana jioni nikiona warembo nawapita vuuup sina habari wala nn. Maisha ya Leo ukitaka kuyafurahia usimwangalie wa pembeni yako.
 
Back
Top Bottom