Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
zamani IPI?Ukitegwa, wewe unategua. Usikubali kunaswa na hiyo mitego. Zamani, yale tuliyokuwa tunayaona faraghani kwa wanawake, siku hizi yanaonekana hadharani. Hawajali wala hawaoni aibu. Hiki ndiyo kizazi tulichonacho sasa. Mungu atuhurumie
ya wanawake kufunga kaniki Viunoni huku vifua vipo wazi?
au zamani Ipi?