kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,064
- 4,056
Tupia na picha zao tuwaone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngumu sana hiyo!SIKU ZOTE UKIJALI NA KUFUATA YAKO HUWEZI JISHUGHULISHA NA YASIYO KUHUSU
Ukipita viunga vya UDSM alfajiri-asubuhi na jioni/usiku. Utashuhudia kinadada wakiwa wanafanya jogging pembezon mwa barabara aisee ni full-mitego. Mtu anajibana mpaka ramani ya Makao Makuu yanaonekana. Wengine mpaka chachandu zinaruka-ruka. Mpaka mtu unajiuliza haya mazoezi ama Sokoni?
Makengeza yako tuUkipita viunga vya UDSM alfajiri-asubuhi na jioni/usiku. Utashuhudia kinadada wakiwa wanafanya jogging pembezon mwa barabara aisee ni full-mitego. Mtu anajibana mpaka ramani ya Makao Makuu yanaonekana. Wengine mpaka chachandu zinaruka-ruka. Mpaka mtu unajiuliza haya mazoezi ama Sokoni?
Sio XoVID imewafanya wazinduke kwa mazoezi?Tangu covid ianze bar zimekauka, madanga yamepotea, ufuska umehamia kwenye mazoezi, na hii nnaiona pia arusha along the new bypass, kuanzia ngaramtoni mpaka usa.. ni full mitego, wadada wengi wanafanya mazoezi kibiashara zaidi
Mi napenda Sana mizigo Kama Sheikh KipozeoMizigo ya maana.
Picha unazo ?[emoji371][emoji371]Makengeza yako tu
Nimeona ila hii ni chumbani naonaSupporting document atleastView attachment 1473772