agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,400
Mdogo wangu kazaliwa 2000 amemaliza 4 lakini hata ukikaa nae maongezi yake tu hajajitambua alafu kuna janaume linammendea ovyo kabisa.kesho linalizwa linakuja kujaza seva hapa2000? Vitoto vinanuka mikojo.