Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,321
- 18,574
Nimekupenda bureHahahahahah sisi tupo busy na kulea sasa hivi bwana,huko kwenye kuattract mabwana hatupo tena.Tushaolewa sasa wanetu wapo class 3.Na bado tunanyonyesha.Kila jambo na wakati wake.Nakushangaa sana kutucompare na wa miaka ya tisini.
Mtu wa 2000 anaweza kua kamaliza form 4?
Mkuu, I beg to differ... Muone mama Salma na uzee wote ule bado ana hit kuliko vibinti vya born 90! Ni vile tu unavyojiweka na kupunguza dhiki ndogo ndogo na kuish stress free life, bado utang'ara...
Inawezekana mkuuMtu wa 2000 anaweza kua kamaliza form 4?
Mkuu naona swala la mileage sio kigezo kwakoYaani wewe ni ZERO huwezi kulinganisha mtu wa 80s an 90s kwenye suala la mapenzi.
Binafsi nawapenda sana watu wa 80s na kushuka chini maana akikupa kakupa yote
Sio hivi vitoto vya 90s ukipiga 1 ya 2 kanakataa, kanasena "usinizeesge" pumbaf
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Vidume wa 90's muda wetu ukiisha na dunia inafika mwisho
Kumbe na. Wewe na niiiiiUtatuweza wapi sisi wewe nenda Kwa vikojozi wenzako.
we unaangalia show? angalia hata categories zingine, wengi wa 80's wana matumbo makubwa kama vitambi, make up zimeanza kuwakataa, wachache sana wenye tako hata kama lipo limetepeta sana, chuchu ndala, hata akivaa suruali au kipedo bado anaonekana mzee tuYaani wewe ni ZERO huwezi kulinganisha mtu wa 80s an 90s kwenye suala la mapenzi.
Binafsi nawapenda sana watu wa 80s na kushuka chini maana akikupa kakupa yote
Sio hivi vitoto vya 90s ukipiga 1 ya 2 kanakataa, kanasena "usinizeesge" pumbaf
yah mbona wapo hdi wa advanceMtu wa 2000 anaweza kua kamaliza form 4?