Mdada anayekataa kuingia kwenye ndoa kwa kisingizio cha "bado sijakamilisha mambo yangu". Huwa ana maana gani? Anajenga au anafungua biashara? Au nn?
Kwani mambo hayo hawezi kuyakamilisha akiwa kwenye ndoa?
Na unakuta anatoa kauli hii baada ya kupiga danadana kama mwaka ama miaka 2.
Kwenye kauli hii binafsi napata hisia kwamba mdada huyu hampendi mwanaume husika, hivyo anasogeza muda huku akiendelea kusubiri chaguo la moyo wake lijitokeze.
Kwa kifupi hapa mkaka anakuwa kapigwa.
Sexless unit hivi Sasa Ina kesi nyingi za aina hii.