hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Licha ya Rihanna kuwa mwanamke mcharuko. ..Lakini the way alivyo dress katika hiyo picha inamfanya aonekane mwanamke mwenye heshima. ...so hicho kivuli cha heshima kina kugusa na wewe pia
Ndo maana toka nimeitoaga sikupata PM kabisaaa!
Nisimulie basi, nini kiko kwa video?!