chiko
JF-Expert Member
- Feb 24, 2010
- 590
- 271
Ndugu wanajamvi, nimeingia uwanjani kuzungumza mada ikiwa, hawa madada zetu wa kileo wanavyo jiachilia kwenye mahusiano. Nazugumzia wadada walio kwenye macho yetu kila mara, yaani mtu anae onekana kwenye runinga, kwenye mitandao ya ki jamii, wengi ni 'ma celeb' , wanavyo jiita wengi haswa wasanii. Kina Dada hawa hawajioni kama ni kioo kwa jamii, kwani wanao enukia wanajiinganisha nao. Dada kapata nafasi ya ku act kwenye tamthilia flani ama kaitwa kuonekana kwenye video ya msanii basi amepata umaarufu.
Sasa tatizo linatokea kwenye mahusiano, mara unaona dada flani anatoka na flani mwengine kaachwa na huyu sasa ana huyu, isistoshe mara kazaa na huyu na huyu nae kazaa na yule, ili mradi mtu anaonekane kwenye mitandao na kutrend...huu ni usanii gani?
Cha kuudhi kabisa, katika karne hii, unapata binti katiwa mimba na kupewa mtoto na jamaa ambae ni celebrity, akijua hataolewa na hata kaa na huyo bwana kwa sababu kuna foleni, na yeye ashatolewa kwenye orodha...
Inakuaje mtu umesoma na umee ilimika, lakini wampanulia miguu jamaa amwage mbegu zake, hujui wangapi amepitia, unamwachia mpaka mtoto anaingia..., alafu jamaa anasepa. Hutaki hata mtoto aje apate heshima ya kujua babake alikua flani.... Kwani hamjui kingaaa???