The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Ngoja ngoja kwanza sitaki kukutafutia haraka maana masharobaro wengi wasije wakaanza kukuomba vocha bure lolAfadhali maana ungeondoka na mlenda kwenye nguo...lolz!Hehehe kama ndo hivyo simtaki maana hapa nilipo nna presha tayari!Embu nitafutie wakunifaa basi na mi niringe kama nyie!
Mtu mpaka anaamua hapo bold anakuwa amechoshwa na vituko vya mume ambavyo havibadilishiki, mfano umalaya uliopitiliza, nyumbani haonekani, matumizi anatoa kwa shida n.k so mmama anaona nikiwaacha wanangu wadogo watateseka ila huyu mdogo akimaliza tu sekondali najiepusha nikapumzishe akili.
Lazima kuna sababu mtu na akili zako huwezi amua uolewe kwa malengo then baada ya muda utoke, hata kama wapo ni wachache sana. Wengi huwa wanakimbia matatizo yaliyoshindikana.
mtafuteni husninyo ni bingwa wa iyo kitu.
Mwanakili nina wasiwasi tayari Husninyo aliishakuonjesha
Embu fanya fasta bwana...ntakufa kwa upweke!Ngoja ngoja kwanza sitaki kukutafutia haraka maana masharobaro wengi wasije wakaanza kukuomba vocha bure lol
Hela za mboga mnaweka kwenye kibubu
Udaku tu!GROAN!!!
Ndo wewe huyo?Kalaga baho.
Kusafisha nyota kivipi hebu weka wazi!!ndoa ni zaidi ya tuijuavyo,wanaozijua hawapendi kuzungumzia sana,ila ndoa za sasa ni utata,hata mimi dada angu kaachika,ila hua anafurai na husema amesha SAFISHA NYOTA.
Ndo wewe huyo?