Kina Dada ni ya kweli haya....?

Kina Dada ni ya kweli haya....?

Afadhali maana ungeondoka na mlenda kwenye nguo...lolz!Hehehe kama ndo hivyo simtaki maana hapa nilipo nna presha tayari!Embu nitafutie wakunifaa basi na mi niringe kama nyie!
Ngoja ngoja kwanza sitaki kukutafutia haraka maana masharobaro wengi wasije wakaanza kukuomba vocha bure lol
 
Mtu mpaka anaamua hapo bold anakuwa amechoshwa na vituko vya mume ambavyo havibadilishiki, mfano umalaya uliopitiliza, nyumbani haonekani, matumizi anatoa kwa shida n.k so mmama anaona nikiwaacha wanangu wadogo watateseka ila huyu mdogo akimaliza tu sekondali najiepusha nikapumzishe akili.

Lazima kuna sababu mtu na akili zako huwezi amua uolewe kwa malengo then baada ya muda utoke, hata kama wapo ni wachache sana. Wengi huwa wanakimbia matatizo yaliyoshindikana.


hivi hapo katika umalaya uliopitiliza hata kamaukija kuachana naye utatoka bila virusi kweli?
 
ndoa ni zaidi ya tuijuavyo,wanaozijua hawapendi kuzungumzia sana,ila ndoa za sasa ni utata,hata mimi dada angu kaachika,ila hua anafurai na husema amesha SAFISHA NYOTA.
Kusafisha nyota kivipi hebu weka wazi!!
 
Mi ndo maana nimejiapia, sitaoe mke wa pili kama nilivyopanga.
 
Back
Top Bottom