Kina Dada sometimez tunajitakia matatizo hii mnaionaje ?

Kina Dada sometimez tunajitakia matatizo hii mnaionaje ?

MMMh! (we si uliniambia niwe nakuangalia kwakuwa ulinikaribisha wa kwanza mmh! kumbe unao wengi eeh?)
Hahahahaha! (usijali, hapa nilikuwa kwenye lojistiksi za kudumisha mila tu):dance::dance:
 
Namshukuru Mungu siku hizi ameniponya wivu sina!

Ni kweli Charity kwa mambo haya ya X-pin ungekufa na BP ..ila una moyo sana

Mie siku moja ningemtwanga na mwiko wa ugali puani
 
Inaelekea humu ndani watu wengi hatujui kupenda na wala hatujawahi kupenda ila tunaigiza tu kupenda...Binti kampenda jamaa,jamaa katoa nje kiaina,binti kajilengesha,mnamlaumu,daa..Jamani acheni,kupenda sio mchezo unaweza kufanya lolote..Tuulizeni wenzenu tuliopenda halafu tunaowapenda wanatuletea longo longo..Ni full kuringa,inauma!
Ndio maana tunaambiwa tujifunze kupenda kwa vichwa vyetu pia , sio kupenda kwa moyo tu.

Heart over Heels in love and not head over heel ......leave your head to think straight
 
Ndio maana tunaambiwa tujifunze kupenda kwa vichwa vyetu pia , sio kupenda kwa moyo tu.
Heart over Heels in love and not head over heel ......leave your head to think straight

...mnh, la'aziz wangu maneno yako yamenichoma mkuki moyoni. Dah, i wish nisingekusoma.
Hakuna kitu kibaya duniani kama watu wakikukumbusha "...si tulikwambia sie?!, ukajifanya mjuaji..."
 
Ni kweli Charity kwa mambo haya ya X-pin ungekufa na BP ..ila una moyo sana

Mie siku moja ningemtwanga na mwiko wa ugali puani
Shauri yako, mi hapo nimesoma katikati ya mistari.....
 
Binti hatakiwi kumlaumu mtu hapa hesabu zake kafanya 2+2 =5 hakuna jinsi hapa
 
Ndio maana tunaambiwa tujifunze kupenda kwa vichwa vyetu pia , sio kupenda kwa moyo tu.

Heart over Heels in love and not head over heel ......leave your head to think straight

mwanajamiione hapo colored inwezekana kweli???:jaw:
 
...mnh, la'aziz wangu maneno yako yamenichoma mkuki moyoni. Dah, i wish nisingekusoma.
Hakuna kitu kibaya duniani kama watu wakikukumbusha "...si tulikwambia sie?!, ukajifanya mjuaji..."
Sweetie we acha tu.... some of us had to learn through our mistakes nakwambia. Mapenzi mh!!
 
mwanajamiione hapo colored inwezekana kweli???:jaw:
Egyps-women inawezekana kabisa if we only bear in mind that mapenzi ya kweli siku hizi its hard to find so tuache dhana ya kuamini moja kwa moja- we have to have a spare room that allows us to stay awake and be caution to every little sign we see. Otherwise itaendelea kula kwako. Unajua mamii ni mara nyingi tu huwa tunaonyeshwa kabisa sign kuwa this person is not into you..... ni hii ni kwa sababu kama mtu anajiforce kukupenda kwa sababu zake mwenyewe hawezikupretend perfectly all the time lazima kuna mahali mkono, mdomo utateleza na utaona alama za nyakati. Tatizo ni kuwa ukishakubali kufunikwa na ile dhana ya 'ananipenda kama mimi ninavyompenda, I dont have to worry' ndio huwa tunajiziba masikio, macho na milango yoote ya hisia so signs zinatupita. Mpaka inapokuwa too late ndio tunaamka na kuona matokea halafu tunaishia kusema lakini mbona flani alinambia? au mbona alianza vituko tangu zamani mbona sikuchukua hatua ??? Inakuwa too late, muda umepotezewa na ameshakufilisi kimapenzi.

I have been there, believe me
 
Ndio maana tunaambiwa tujifunze kupenda kwa vichwa vyetu pia , sio kupenda kwa moyo tu.

Heart over Heels in love and not head over heel ......leave your head to think straight

na hili ndo tatizo letu hasa...........moyo umependa my f***t!!! tukigaragazwa ndo tunatia akili waaaaaayi!!!
 
Namshukuru Mungu siku hizi ameniponya wivu sina!
Huna wivu???!!!!!!!!!! I dont think so. Kinachotokea nadhani uliumizwa sana kiasi una wasiwasi mkubwa sana unaokufanya ushindwe kuji-commit kwa mtu yeyote kwa 100%. Otherwise mummy kama umependa wivu ni kwa kwenda mbele.
 
Sweetie we acha tu.... some of us had to learn through our mistakes nakwambia. Mapenzi mh!!

Kumbe Mbu na MJ1 ni ma sweetheart eeeeh .........................( MJ1 MBONA MOYO WAKO UNA BROKEN HEART SASA)
 
Ndio maana tunaambiwa tujifunze kupenda kwa vichwa vyetu pia , sio kupenda kwa moyo tu.

Heart over Heels in love and not head over heel ......leave your head to think straight
Unfortunately that is just not possible. Ukizimika ndo ushazimika no way out.
 
Kumbe Mbu na MJ1 ni ma sweetheart eeeeh .........................( MJ1 MBONA MOYO WAKO UNA BROKEN HEART SASA)
FL! darling huyo ni kipenzi cha moyo wangu mwenye kuuponya hayo majeraha uyaonayo. Ameniinua pale nilipoanguka, na kunibembeleza pale nilipolia, anayajua machungu yangu, na kuyapunguza makali..... loh
 
Back
Top Bottom