MMMh! (we si uliniambia niwe nakuangalia kwakuwa ulinikaribisha wa kwanza mmh! kumbe unao wengi eeh?)Oke oke oke...... Ngoja niitafute ATM card yangu fasta...
Hahahahaha! (usijali, hapa nilikuwa kwenye lojistiksi za kudumisha mila tu):dance::dance:MMMh! (we si uliniambia niwe nakuangalia kwakuwa ulinikaribisha wa kwanza mmh! kumbe unao wengi eeh?)
Namshukuru Mungu siku hizi ameniponya wivu sina!Hahahahaha! (usijali, hapa nilikuwa kwenye lojistiksi za kudumisha mila tu):dance::dance:
Namshukuru Mungu siku hizi ameniponya wivu sina!
Ndio maana tunaambiwa tujifunze kupenda kwa vichwa vyetu pia , sio kupenda kwa moyo tu.Inaelekea humu ndani watu wengi hatujui kupenda na wala hatujawahi kupenda ila tunaigiza tu kupenda...Binti kampenda jamaa,jamaa katoa nje kiaina,binti kajilengesha,mnamlaumu,daa..Jamani acheni,kupenda sio mchezo unaweza kufanya lolote..Tuulizeni wenzenu tuliopenda halafu tunaowapenda wanatuletea longo longo..Ni full kuringa,inauma!
Ndio maana tunaambiwa tujifunze kupenda kwa vichwa vyetu pia , sio kupenda kwa moyo tu.
Heart over Heels in love and not head over heel ......leave your head to think straight
Shauri yako, mi hapo nimesoma katikati ya mistari.....Ni kweli Charity kwa mambo haya ya X-pin ungekufa na BP ..ila una moyo sana
Mie siku moja ningemtwanga na mwiko wa ugali puani
Ndio maana tunaambiwa tujifunze kupenda kwa vichwa vyetu pia , sio kupenda kwa moyo tu.
Heart over Heels in love and not head over heel ......leave your head to think straight
Sweetie we acha tu.... some of us had to learn through our mistakes nakwambia. Mapenzi mh!!...mnh, la'aziz wangu maneno yako yamenichoma mkuki moyoni. Dah, i wish nisingekusoma.
Hakuna kitu kibaya duniani kama watu wakikukumbusha "...si tulikwambia sie?!, ukajifanya mjuaji..."
Egyps-women inawezekana kabisa if we only bear in mind that mapenzi ya kweli siku hizi its hard to find so tuache dhana ya kuamini moja kwa moja- we have to have a spare room that allows us to stay awake and be caution to every little sign we see. Otherwise itaendelea kula kwako. Unajua mamii ni mara nyingi tu huwa tunaonyeshwa kabisa sign kuwa this person is not into you..... ni hii ni kwa sababu kama mtu anajiforce kukupenda kwa sababu zake mwenyewe hawezikupretend perfectly all the time lazima kuna mahali mkono, mdomo utateleza na utaona alama za nyakati. Tatizo ni kuwa ukishakubali kufunikwa na ile dhana ya 'ananipenda kama mimi ninavyompenda, I dont have to worry' ndio huwa tunajiziba masikio, macho na milango yoote ya hisia so signs zinatupita. Mpaka inapokuwa too late ndio tunaamka na kuona matokea halafu tunaishia kusema lakini mbona flani alinambia? au mbona alianza vituko tangu zamani mbona sikuchukua hatua ??? Inakuwa too late, muda umepotezewa na ameshakufilisi kimapenzi.mwanajamiione hapo colored inwezekana kweli???:jaw:
Ndio maana tunaambiwa tujifunze kupenda kwa vichwa vyetu pia , sio kupenda kwa moyo tu.
Heart over Heels in love and not head over heel ......leave your head to think straight
Hapo M ulitaka kuandika nini?na hili ndo tatizo letu hasa...........moyo umependa my f***t!!! tukigaragazwa ndo tunatia akili waaaaaayi!!!
Shauri yako, mi hapo nimesoma katikati ya mistari.....
Huna wivu???!!!!!!!!!! I dont think so. Kinachotokea nadhani uliumizwa sana kiasi una wasiwasi mkubwa sana unaokufanya ushindwe kuji-commit kwa mtu yeyote kwa 100%. Otherwise mummy kama umependa wivu ni kwa kwenda mbele.Namshukuru Mungu siku hizi ameniponya wivu sina!
Sweetie we acha tu.... some of us had to learn through our mistakes nakwambia. Mapenzi mh!!
Unfortunately that is just not possible. Ukizimika ndo ushazimika no way out.Ndio maana tunaambiwa tujifunze kupenda kwa vichwa vyetu pia , sio kupenda kwa moyo tu.
Heart over Heels in love and not head over heel ......leave your head to think straight
FL! darling huyo ni kipenzi cha moyo wangu mwenye kuuponya hayo majeraha uyaonayo. Ameniinua pale nilipoanguka, na kunibembeleza pale nilipolia, anayajua machungu yangu, na kuyapunguza makali..... lohKumbe Mbu na MJ1 ni ma sweetheart eeeeh .........................( MJ1 MBONA MOYO WAKO UNA BROKEN HEART SASA)
Hapo M ulitaka kuandika nini?
Not if you keep reminding yourself kuwa mapenzi ya kweli siku hizi ni tabu kuyapata... so stay awake until you prove yourself wrong.Unfortunately that is just not possible. Ukizimika ndo ushazimika no way out.