Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,357
trust me dearest hivyo ndivyo wanawake wanafanya siku hizi nimeona na bado naendelea kushuhudia.....tunaogopa sisi tupo wengi na mamen ni wachache sasa tunachofanya ni kucheza karata tatu ukibahatisha mwenye 'huruma' atakuoa........ukimkuta isaraeli kwisha habai yako!!! kazi tunayo
huu usemi ndio unawachanganya wadada haswaa, hata kama tupo wengi sio wote wana vigezo, mwanaume atakutana na huyu atamuona hana vigezo anavyovitaka ataenda kwa mwingine atamkuta ana vigezo so mambo yanasonga.