trust me dearest hivyo ndivyo wanawake wanafanya siku hizi nimeona na bado naendelea kushuhudia.....tunaogopa sisi tupo wengi na mamen ni wachache sasa tunachofanya ni kucheza karata tatu ukibahatisha mwenye 'huruma' atakuoa........ukimkuta isaraeli kwisha habai yako!!! kazi tunayo
Mrs yaani nakumbuka wakati natangaza nia 'on a bebded knee'😛ray:yaani mie nikimuona mdada anang'ang'ania mtu kwa nguvu huwa cmuelewi kabisa, namuona hajiamini kabisa, yaani yupo yupo tu....na raha ya ndoa aitamke mwenyewe jamani.
Huyu ni Binti wa 25 yrs old ana B/F kwa muda wa miaka 3 sasa na pia anasoma Elimu ya juu katika chuo kimoja ..kinachomsumbua ni kwa nini mpenzi wake hajatangaza nia juu yake mpaka sasa..
... Binti kaamua kubeba ujauzito bila kumwambia jamaa ,kasubiri unafikisha 7 month ndo akasema kijana kamtunza bila tatizo mpaka binti kajifungua.
Cha kushangaza sasa Binti anataka kuhamia kwa mwanaume na mwanaume amegoma ..Binti anatishia kunywa sumu.....anashinda analia na mtoto ana miezi miwili
Wadau hii imekaaje?
wakati humu ndani sasa hivi tukikoromeana namwambia baba tunabanana hapa hapa mpaka kieleweke, yeye anaambiwa ulinilazimisha mwenyewe kukuoa, yaani ili mradi watu wawe na ndoa, walio ndani wanataka kutoka walio nje wanaingia kwa spidi ya kurusha fatuma....nilikumiso dearest.
Mrs yaani nakumbuka wakati natangaza nia 'on a bebded knee'😛ray:
hii ndo shida kubwa sana, na ndo maana mi siku zote huwambia mashost zangu once ukiamua kubeba mimba na kukileta kiumbe ulimwenguni, be sure of what you are doing, jua ni wewe mama uliyebeba mimba miezi tisa na ukaingia labor kwa uchungu ndo utakayekuwa full responsible for that kid. wanaume si wa kuwaamini katika hili, na mbaya zaidi ndo kumtegeshea mtu bila kujua, ni tatizo kubwa sana. bora akae chini atulie ajipange kulea na kutunza mwanae with or without that guy. Hakuwa fare kwanza kwa kumtegeshea kaka a watu kisa anataka ndoa, hizi ndoa zinazotafutwa kwa nguvu namna unategemea nini hata akishakuoa akakuweka ndani just for the sake of the babby and not love? mwishowe ndo mwanaume anaanza kuku ignore ndani nyumba ndogo kibao, kisa hajakupenda ila tu anakutorelate kwa ajili ya mtoto, that is crazy ladies, crazy!
madada wengine bana!...
wanapenda sana KULAZIMISHA MAMBO
haaapo kwenye karangi mamii akiambiwa hivyo she is even lucky....hapo ni fulu maaction tu hakuna kuongea ndo ataijutia ndoa ya kubandika na supa guluu
missed u too dearest
HEHEHE!kaizer umeniacha hoi jamani JF mna misemo:crazy:
Kweli Carmel huyu dada pamoja na elimu yake bado anafanya mambo bila kufikilia ??inashangaza sana kweli hapa kajitakia matatizo mwenyewe hana wa kumtolea hizi lawa,a
Kweli Carmel huyu dada pamoja na elimu yake bado anafanya mambo bila kufikilia ??inashangaza sana kweli hapa kajitakia matatizo mwenyewe hana wa kumtolea hizi lawa,a
Hapo ndipo mnapokoseaga nyie wavaa magauni.
Nani alikudanganya Elimu ina uhusiano na Mapenzi?
madada wengine bana!...
wanapenda sana KULAZIMISHA MAMBO
Huyu ni Binti wa 25 yrs old ana B/F kwa muda wa miaka 3 sasa na pia anasoma Elimu ya juu katika chuo kimoja ..kinachomsumbua ni kwa nini mpenzi wake hajatangaza nia juu yake mpaka sasa..
Siku moja Binti kamuweka kitako Boyfriend na kumueleza hisia zakekamili kama anampenda sana na anapenda awe mme na baba wa watoto wake ..Jamaa akamwambia kila kitu kina muda ,na muda ukifika wataongea na kupanga yote haya...
Binti kaamua kubeba ujauzito bila kumwambia jamaa ,kasubiri unafikisha 7 month ndo akasema kijana kamtunza bila tatizo mpaka binti kajifungua.
Cha kushangaza sasa Binti anataka kuhamia kwa mwanaume na mwanaume amegoma ..Binti anatishia kunywa sumu.....anashinda analia na mtoto ana miezi miwili
Wadau hii imekaaje?
nashindwa kumuelewa mwanamke anayelazimisha mambo hadi anafikia hatua ya KUTEGESHEA.......Nimesoma pembeni ya mistari hapo.