Mchumba sikujua, uko desperate kuolewa? Hebu twende PM mara moja!Kazi ipo.Nao wanaume sometimes huwa wanachangia sana hali hii kwa wanawake.wanaume wengi huwa hawataki kuoa mpaka wa'test' kwanza(tena kutest mpaka mwanamke abebe mimba) ndipo wanakubali kuoa.Na wakitukuta wanawake tupo desperate na kuolewa ndio basi wanafanya watakavyo!
Huyu ni Binti wa 25 yrs old ana B/F kwa muda wa miaka 3 sasa na pia anasoma Elimu ya juu katika chuo kimoja ..kinachomsumbua ni kwa nini mpenzi wake hajatangaza nia juu yake mpaka sasa..
Siku moja Binti kamuweka kitako Boyfriend na kumueleza hisia zakekamili kama anampenda sana na anapenda awe mme na baba wa watoto wake ..Jamaa akamwambia kila kitu kina muda ,na muda ukifika wataongea na kupanga yote haya...
Binti kaamua kubeba ujauzito bila kumwambia jamaa ,kasubiri unafikisha 7 month ndo akasema kijana kamtunza bila tatizo mpaka binti kajifungua.
Cha kushangaza sasa Binti anataka kuhamia kwa mwanaume na mwanaume amegoma ..Binti anatishia kunywa sumu.....anashinda analia na mtoto ana miezi miwili
Wadau hii imekaaje?
Kazi ipo.Nao wanaume sometimes huwa wanachangia sana hali hii kwa wanawake.wanaume wengi huwa hawataki kuoa mpaka wa'test' kwanza(tena kutest mpaka mwanamke abebe mimba) ndipo wanakubali kuoa.Na wakitukuta wanawake tupo desperate na kuolewa ndio basi wanafanya watakavyo!
uwiii nimecheka cna mbavu, halafu mwanaume wa kumlazimishia mambo haishi vituko wallaah, halafu hawanaga adabu wala aibu, matendo yake hayana tofauti na mwanaume single ambae bado anatafuta, akilala disc sawa, akirudi asubuhi sawa, watu wanapenda kujichomeka kwenye matatizo sana..
nashindwa kumuelewa mwanamke anayelazimisha mambo hadi anafikia hatua ya KUTEGESHEA.......
unajua nini mpwaaaz..
wanawake wa hivo hawafikiriagi kabisa FURAHA NA AMANI katika ndoa zao....!kwasababu mwanaume ukimfosi ki-hivyo lazima apige INFIDELITY
:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
AMANI KWAKO CARMEL
muache anywe tu. tumuanzishie sredi la michango. Nyammbaaf mweus!

nikokota hela lazima nikununuliw lunch wewe
Mweusi kama Mnaijeria au Mkameruni?
Ingekuwa Kaizer, Teamo,Xpin,Fidel ,Swahilian ,Mfamaji, mwanakijiji ,Askof na wengineo wengi mko katika hilistuation ya hilo goma mngechua hatua gani? from bottom of ur heart:A S-rose:
muda wa kunywa haujafika bado, atakunywa atakapoona jamaa anaona mwingine hadharani.
Inaskitisha kwa upande mmoja na upande mwingine inakasirisha.Huyu ni Binti wa 25 yrs old ana B/F kwa muda wa miaka 3 sasa na pia anasoma Elimu ya juu katika chuo kimoja ..kinachomsumbua ni kwa nini mpenzi wake hajatangaza nia juu yake mpaka sasa..
Siku moja Binti kamuweka kitako Boyfriend na kumueleza hisia zakekamili kama anampenda sana na anapenda awe mme na baba wa watoto wake ..Jamaa akamwambia kila kitu kina muda ,na muda ukifika wataongea na kupanga yote haya...
Binti kaamua kubeba ujauzito bila kumwambia jamaa ,kasubiri unafikisha 7 month ndo akasema kijana kamtunza bila tatizo mpaka binti kajifungua.
Cha kushangaza sasa Binti anataka kuhamia kwa mwanaume na mwanaume amegoma ..Binti anatishia kunywa sumu.....anashinda analia na mtoto ana miezi miwili
Wadau hii imekaaje?
muda wa kunywa haujafika bado, atakunywa atakapoona jamaa anaona mwingine hadharani.
si umeelewa lakini???Mamushka naona umejikwaa kucha hapo.......Punguza spidi kiduchu basi lol
Mchumba sikujua, uko desperate kuolewa? Hebu twende PM mara moja!
good morning his majesty
Hommie miye sidhani kama nimeiona hii...dah:jaw: