Whatever the case... yeye bado ni mdogo sana, at least she has learned her lesson... amtunze mtoto wake na aendelee na maisha.
25yrs?...heee
25 yrs na katoto kake mwenyewe mashallah!!!! ajilele tu mwanae huyo jamaa akiamua kumuoa well and gud akimtosa basi pia sio mwisho w maisha!!!
lakini habari ya kumtishia eti atajiua hapo ndo naona upuuzi mtupu!!!
Nyamayao, 25yrs sio ya kumfanya mtu awe that much desperate... angekuwa na miaka 35 kuendelea ndo angeanza ku-worry kuhusu ndoa na vitu kama hivyo... umri wake unamruhusu kurekebisha pale alipokosea
Ili ndio la msingi kwa sasa haya mengine waambiwe wanafunzi walioko primary na sekondari maana wanadumbukia kwenye mapenzi mapema ili wajiepushe na wanaume wabadhirifu wa mapenziamtunze mtoto wake na aendelee na maisha.
Asa unakuta yeye ndio mmoja wa wale wasio na vigezo unategema nini??huu usemi ndio unawachanganya wadada haswaa, hata kama tupo wengi sio wote wana vigezo, mwanaume atakutana na huyu atamuona hana vigezo anavyovitaka ataenda kwa mwingine atamkuta ana vigezo so mambo yanasonga.
Askofu, you are touching where the people of your calibre must have to touch. I concur with you 100% hapo kwenye red. Bwana Yesu Asifiwe/Tumsifu Yesu Kristo Baba AskofuKweli hajachelewa. Bado anaweza kurudi shule na akajenga maisha yake na mtoto wake vizuri tu, kwanza baada ya kuona response ya huyo kijana anatakiwa aanze kuangalia namna ya kumsaidia mtoto wake... Hilo la sumu ni kutishia tu...
wakati mwingine sio mapenzi/upendo bwana, wengine wanasukumwa na kiherehere/kutamani ndoa, wakifikiri huku tunachimba dhahabu....sio wote wajishikishao wanajishikisha kwa mapenzi, wengine tamaa zao tu zinawaponza.
Nyamayao, 25yrs sio ya kumfanya mtu awe that much desperate... angekuwa na miaka 35 kuendelea ndo angeanza ku-worry kuhusu ndoa na vitu kama hivyo... umri wake unamruhusu kurekebisha pale alipokosea
Ili ndio la msingi kwa sasa haya mengine waambiwe wanafunzi walioko primary na sekondari maana wanadumbukia kwenye mapenzi mapema ili wajiepushe na wanaume wabadhirifu wa mapenzi
Askofu, you are touching where the people of your calibre must have to touch. I concur with you 100% hapo kwenye red. Bwana Yesu Asifiwe/Tumsifu Yesu Kristo Baba Askofu
There are currently 46 users browsing this thread. (25 members and 21 guests)
smalnama Mokoyo kaburunye daughter Da Womanizer Swahilian Charity+ Shishi Lutala Renegade Tshala FirstLady1+ Mwazani vivian Edson Kaizer+ chloe.obrain nyange katelero Ng'azagala ral Lily Flower+ Mfamaji Chumakibolimoto
Jamani hebu punguzeni kasi kidogo nami niende sawa na nyie lol!
Hamna kazi za kufanya? Mnawaibia waajiri wenu namna hii?
Kapewa au kampora jamaa mtoto? kwani kulikuwa na makubaliano?You are right,she is too young to be desperate for marriage.Amshukuru Mungu kwa kupewa zawadi ya mtoto na atulie.
Kweli haka Kabinti mie nimeshindwa kukaelewa kabisa ...nadhani kamefanya makosa ambayo katayajuitia baadae ..na sijui kama huyu jamaa atatangaza nia ..
Kapewa au kampora jamaa mtoto? kwani kulikuwa na makubaliano?
Off topic: HIVI TABIA INAYOENDELEA KWA KASI SIKU HIZI YA KUPACHIKA MIMBA KWANZA THEN NDO NDOA INAONYESHA ISHARA GANI?
A) VINJEMBA HAVIAMINI KAMA BINTI YUPO SAWA KWENYE SEKTA YA REPRODUCTION
B) VIBINTI VINATAKA KUOLEWA, SO VINAFANYA KAMA HUYU 25YRS HAPA
C) INATOKEA BAHATI MBAYA
Naomba nijue, mapenzi yanaingia wapi kama majibu ni A au B.