Kina Dada sometimez tunajitakia matatizo hii mnaionaje ?

Whatever the case... yeye bado ni mdogo sana, at least she has learned her lesson... amtunze mtoto wake na aendelee na maisha.

25 yrs na katoto kake mwenyewe mashallah!!!! ajilele tu mwanae huyo jamaa akiamua kumuoa well and gud akimtosa basi pia sio mwisho w maisha!!!

lakini habari ya kumtishia eti atajiua hapo ndo naona upuuzi mtupu!!!
 
25yrs?...heee

Nyamayao, 25yrs sio ya kumfanya mtu awe that much desperate... angekuwa na miaka 35 kuendelea ndo angeanza ku-worry kuhusu ndoa na vitu kama hivyo... umri wake unamruhusu kurekebisha pale alipokosea
 
Kwa kweli huyo dada inabidi ajilaumu mwenyewe kwani wanaume wengi siku hizi kutangaza nia wanakuwa wagumu. uamuzi wa kumtega jamaa haukuwa wa busara!
 
Unajua mara nyingi nashindwa kuwaelewa akina dada. Kwani dume likikwambia anakupenda maana yake ni kumbebea mimba au kuwa mke wake. Mtakunywa sumu mpaka mwisho lkn mjifunze kitu mapenzi sio biashara ya jumla. Kila wakati uwe akili kichwani. Hizo tamthilia mnazotazama zinawaponza sana. Mara nataka unipende kama msanii flani wa kiume anavyompenda msanii flani wa kike. Hayo ni mambo ya script tu lakini sio ukweli katika maisha. Kuweni makini dada zangu!
 
25 yrs na katoto kake mwenyewe mashallah!!!! ajilele tu mwanae huyo jamaa akiamua kumuoa well and gud akimtosa basi pia sio mwisho w maisha!!!

lakini habari ya kumtishia eti atajiua hapo ndo naona upuuzi mtupu!!!

Kweli hajachelewa. Bado anaweza kurudi shule na akajenga maisha yake na mtoto wake vizuri tu, kwanza baada ya kuona response ya huyo kijana anatakiwa aanze kuangalia namna ya kumsaidia mtoto wake... Hilo la sumu ni kutishia tu...
 
Nyamayao, 25yrs sio ya kumfanya mtu awe that much desperate... angekuwa na miaka 35 kuendelea ndo angeanza ku-worry kuhusu ndoa na vitu kama hivyo... umri wake unamruhusu kurekebisha pale alipokosea

nilikuelewa vingine, sasa nimekupata fresh.
 
amtunze mtoto wake na aendelee na maisha.
Ili ndio la msingi kwa sasa haya mengine waambiwe wanafunzi walioko primary na sekondari maana wanadumbukia kwenye mapenzi mapema ili wajiepushe na wanaume wabadhirifu wa mapenzi
 
huu usemi ndio unawachanganya wadada haswaa, hata kama tupo wengi sio wote wana vigezo, mwanaume atakutana na huyu atamuona hana vigezo anavyovitaka ataenda kwa mwingine atamkuta ana vigezo so mambo yanasonga.
Asa unakuta yeye ndio mmoja wa wale wasio na vigezo unategema nini??
 
Ndo maana mimi huwa nasikitika sana pale dada zetu wanapojirahisi kihivyo. Wanawake ni watu wenye heshima kubwa sana lakini sijui kama wengi wao wanalifahamu hilo. Ukisoma katika Biblia utaona kuwa mwanamke aliumbwa kwa ajili ya mwanaume (si wanaume) hivyo kama akitulia na kujua thamani yake atampata mwanaume ambae ameumbwa kwa ajili yake. Shida kubwa inayowasumbua mabinti wengi ni kudhani kuwa wakijirahisi kwa wanaume ndo watapata mme lakini badala yake wanaishia kuchezewa tu na kuachiwa maumivu makubwa mioyoni.

ushauri wangu: wanawake jitunzeni, jiheshimuni (no sex before marriage). usikubali kumvulia mwanaume nguo kama si mmeo halali. Kinyume cha hapo utakuwa unacheza na nyoka na hivyo usitulalamikie atakapoanza kukuuma.
 
Kweli hajachelewa. Bado anaweza kurudi shule na akajenga maisha yake na mtoto wake vizuri tu, kwanza baada ya kuona response ya huyo kijana anatakiwa aanze kuangalia namna ya kumsaidia mtoto wake... Hilo la sumu ni kutishia tu...
Askofu, you are touching where the people of your calibre must have to touch. I concur with you 100% hapo kwenye red. Bwana Yesu Asifiwe/Tumsifu Yesu Kristo Baba Askofu
 
wakati mwingine sio mapenzi/upendo bwana, wengine wanasukumwa na kiherehere/kutamani ndoa, wakifikiri huku tunachimba dhahabu....sio wote wajishikishao wanajishikisha kwa mapenzi, wengine tamaa zao tu zinawaponza.

ahahahahaha Nyamayao kweli tell them hamna dhahabu...labda changarawe!!! hilo la kutega mwnamume na mimba duh!!! mambo ya kizamani hayo...and it worked those days lakini siku hizi utaachwa mataani dadangu ushangae! mdomo wazi utamani kukameza ako katoto!!!
 
Nyamayao, 25yrs sio ya kumfanya mtu awe that much desperate... angekuwa na miaka 35 kuendelea ndo angeanza ku-worry kuhusu ndoa na vitu kama hivyo... umri wake unamruhusu kurekebisha pale alipokosea

You are right,she is too young to be desperate for marriage.Amshukuru Mungu kwa kupewa zawadi ya mtoto na atulie.
 
Ili ndio la msingi kwa sasa haya mengine waambiwe wanafunzi walioko primary na sekondari maana wanadumbukia kwenye mapenzi mapema ili wajiepushe na wanaume wabadhirifu wa mapenzi

Mi nafikiri wa kuambiwa ni hao wanaume waharibifu wanaoharibu maisha ya watoto wa wenzao
 
Askofu, you are touching where the people of your calibre must have to touch. I concur with you 100% hapo kwenye red. Bwana Yesu Asifiwe/Tumsifu Yesu Kristo Baba Askofu

Naona Robot ameficha Kabatani kale leo...

Thanks
 
There are currently 46 users browsing this thread. (25 members and 21 guests)
smalnama Mokoyo kaburunye daughter Da Womanizer Swahilian Charity+ Shishi Lutala Renegade Tshala FirstLady1+ Mwazani vivian Edson Kaizer+ chloe.obrain nyange katelero Ng'azagala ral Lily Flower+ Mfamaji Chumakibolimoto

Jamani hebu punguzeni kasi kidogo nami niende sawa na nyie lol!

Hamna kazi za kufanya? Mnawaibia waajiri wenu namna hii?
 
hahahahahahah na wewe leo unamwibia mwajiri wako kidogo tu break unaenda kunywa thupu kwani jana umefanyaje
 
You are right,she is too young to be desperate for marriage.Amshukuru Mungu kwa kupewa zawadi ya mtoto na atulie.
Kapewa au kampora jamaa mtoto? kwani kulikuwa na makubaliano?

Off topic: HIVI TABIA INAYOENDELEA KWA KASI SIKU HIZI YA KUPACHIKA MIMBA KWANZA THEN NDO NDOA INAONYESHA ISHARA GANI?

A) VINJEMBA HAVIAMINI KAMA BINTI YUPO SAWA KWENYE SEKTA YA REPRODUCTION
B) VIBINTI VINATAKA KUOLEWA, SO VINAFANYA KAMA HUYU 25YRS HAPA
C) INATOKEA BAHATI MBAYA

Naomba nijue, mapenzi yanaingia wapi kama majibu ni A au B.
 
Kweli haka Kabinti mie nimeshindwa kukaelewa kabisa ...nadhani kamefanya makosa ambayo katayajuitia baadae ..na sijui kama huyu jamaa atatangaza nia ..

Mwaka huu hali ya kisiasa ni ngumu FL1...
 
Kapewa au kampora jamaa mtoto? kwani kulikuwa na makubaliano?

Off topic: HIVI TABIA INAYOENDELEA KWA KASI SIKU HIZI YA KUPACHIKA MIMBA KWANZA THEN NDO NDOA INAONYESHA ISHARA GANI?

A) VINJEMBA HAVIAMINI KAMA BINTI YUPO SAWA KWENYE SEKTA YA REPRODUCTION
B) VIBINTI VINATAKA KUOLEWA, SO VINAFANYA KAMA HUYU 25YRS HAPA
C) INATOKEA BAHATI MBAYA

Naomba nijue, mapenzi yanaingia wapi kama majibu ni A au B.

Nguvu za kiume zimepungua kwa wanaume
 
ubarikiwe kwa kunikumbusha enzi za masuali ya maltipul choisi na kalkuleta is not alowed. mimi nazani yote ni sahihi lakini C ni sahihi zaidi
 
Back
Top Bottom