Kwani mimba inaletwa na nguvu za kiume?Nguvu za kiume zimepungua kwa wanaume
Nguvu za kiume zimepungua kwa wanaume
Ni kweli na ampe matunzo yenye uhakika na ya upendo, huyo mtoto ndio ngao yake.Amshukuru Mungu kwa kupewa zawadi ya mtoto na atulie.
na wanapokuwa kwqenye ndoa, bahati mbaya huwa zinaendelea kutokea au inakuwaga mwanzoni tu!!ubarikiwe kwa kunikumbusha enzi za masuali ya maltipul choisi na kalkuleta is not alowed. mimi nazani yote ni sahihi lakini C ni sahihi zaidi
Natamani hili swali lako lingepata jibu, lingesaidia mamia ya wanaume na wanawakeKwani mimba inaletwa na nguvu za kiume?
na wanapokuwa kwqenye ndoa, bahati mbaya huwa zinaendelea kutokea au inakuwaga mwanzoni tu!!
[/COLOR]
ahahahahaha Nyamayao kweli tell them hamna dhahabu...labda changarawe!!! hilo la kutega mwnamume na mimba duh!!! mambo ya kizamani hayo...and it worked those days lakini siku hizi utaachwa mataani dadangu ushangae! mdomo wazi utamani kukameza ako katoto!!!
Nyie dada zetu mnakuwa na mushkeli wakati mwingine, sababu nyie kwa kiasi kikubwa si wachaguzi ila ni wabaguzi, wengi hupenda sana kuangalia tu jamaa ana luninga ana simu na je ana uwezo wa kunitoa nje/matembezi ya kujiliwaza siku ya mwisho wa wiki(weekend outing),
na mambo yote yenye mwenendo wa kianasa zaidi na hapo ndipo mitego huwa wazi na sie huingia ili kulipa kisasi, eh! Ndio
''ukila vya wenzio usilalame vyako kuliwa''
Baada ya hapo huangalii tena je huyo umpaye ni mlaji wa kukaa/mpita njia na je? hula kiustaarabu au mlaji pupa yaani hamalizi hiki anarukia kile na hiki anatupa.
Japo pia ni vigumu pia kumtambua mlaji wa hovyo ambaye hula huku na huko, akatafuta akatupa na tena akaokota na kutafuna tena, na hapo bado binti hawezi shituka na hata akijua atasema ''tutabanana han'pa han'pa'' Huo ni udhaifu mkubwa jitahidini basi ili tuishi vyema.
Mapenzi ni kuelewana na yule umpendaye naye akakupenda na si kujilazimisha/lazimishwa na anasa zisizo na umri mrefu. Mtaangamia na sie tutajutia jamani.
Iwapo nyie hamtafanya makosa basi nasi hatutowafanyie nyie na kwa hakika mtafurahia maisha.
Kwa leo nafikiri inatosha na mnisamehe dada zangu iwapo yapo maneno/kauli zinazokusitisheni.
'NI MAWAZO YANGU YA
'MOYONI'
'NAKUPENDENI'
!sanaa!
lol...vipi mami ndoa inakupelekaje? mawifi bado hawajaanza fujo zao? wakianza niite mara moja![/QUOTE]
tchaaaaaaaaaaa!!! dearest bana mi staki kucheka lol!!!
akikuita unaharibu mazima afu sasa utaondoka na Shiroo au unamwacha hapo hapo kwake??
Ndiyo mbinu uliyotumia wewe hii??Wapendwa kumbe mmejificha huku?
Nimewatafuta Jamvi zima.
Jamani moja ya vitu ambavyo vinaleta hasira kwa wanawake katika mahusiano ni kuchezewa na hatimaye mwanaume haonyeshi dalili ya kukuoa.
Alichofanya huyo dada ni mbinu yake ya mwisho ambayo mara nyingi hufanikiwa na ndio maana anapogundua haijafanikiwa anajaribu mbinu nyingine ya kutishia kujiua.
Msimlaumu wapendwa kwani yamemkuta.
Kaizer EW huyu unayemdhani yuko JF tangu 2006 kama msomaji ...jukwaa la mapenzi na mapendo,siasa na Jamii intel.
Feb aliamua kuwa mwanachama hai JF is any big deal between mwite invisible aje kukutegulia fumbo.
Tuko pamoja sana .
Too sad! Ila kusema kweli sisi akina dada tukishapenda tunakua vipofu. Binafsi yamenikuta mengi.
Somo nililolipata katika maisha ni kwamba. Swala la mapenzi halihitaji ushauri!!
Mapenzi ni maamuzi. na ushauri unahitajika kabla ya maamuzi!!
kasome zaburi 129okay, nimetokewa kuvutiwa tu na mchango wako kumbe ni mzoefu wa miaka hiyo so unawafahamu wapwaz na mabinamuz....lol...sasa kumbe pia kuna fumbo, nita do ze nidiful afu nitaku emal (nasikia hata pm unaweza kufungiwa):a s 103:
lol...vipi mami ndoa inakupelekaje? mawifi bado hawajaanza fujo zao? wakianza niite mara moja!
kasome zaburi 129
kasome zaburi 129
Nguvu za kiume zimepungua kwa wanaume