BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Mwanamke mwenye kufanya hivyo hayupo. Lazima awepo mfanyakazi wa Ndani acheni kujidanganya.
mfanyakazi wa ndani haondoi majukumu ya mke kwenye nyumba, na si kila kitu atafanya mfanykazi, unless wewe ni wale mnaojidanganya kuwa ukishaweka housegirl ndo umemaliza kila kitu......