BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Mwanamke mwenye kufanya hivyo hayupo. Lazima awepo mfanyakazi wa Ndani acheni kujidanganya.
inabidi tuwape kitchen party vijana wetu wa kiume maana mapenzi hawajui wana kazi ya kulaumu wanawake! ukimjua mwanamke vizuri hutapata s
Hapana hatuhitaji kitchen party nyie ndio hamsomeki. Mwanaume asipokushughulikia vizuri unanalamika akitaka kupiga vyombo kisawasawa unasema umechoka, yaani hamsomeki. Cha msingi ni kutafuta nyumba ndogo nakupiga vyombo vya haja
ni aibu kwa mwanaume kushindwa 'kumsoma' mkewe....
Yaani nyie ni sawa na kinyonga kubadili rangi leo utasomeka hivi kesho utasomeka hivi sasa mwanaume yuko wapi wa kukaa kusoma hizi rangi? Haya sasa leo umeamua kufanya hata kiuno kikushinde kukata?
kumbe uvivu wa wanaume wa kutomsoma mke ndio chanzo....
Kwa mwendo huu acha wakongo wachukue tu wake zenu....maana hawashindwi kukata viuno.......
Mwanaume unashindwaje kumwelekeza mkeo akufanyie nini uridhike?
Unashimdwaje kutumia 'muda' ambao unauona mali kuliko ndoa yako kumsoma mkeo, kumsuprise, kumpetipeti na kumwonyesha mahaba?
Mwanaume utasemaje kuwa mke 'hasomeki?'
kweli kuna umuhimu wa kupeleka jando vijana wa kiume....
Sasa kama mwanamke haeleweki ukiamua kumuambia anavuta mdomo full kununa ndani ya nyumba. Anayetakiwa kukata kiuno ni nani kati ya mwanamke na mwanaume? Usifanannishe viuno vya stejini na na vya 6/6 ukadhani ni sawa hapo utapotea.
apo umenena mwenzangu,yan kutwa nzma nifanye kazi tena ukija nyumban mwanaume amekaa akisubiria pale kitandan,bdala ata asaidie kuaandaa nguo za kazni,kwa wiki akipata mara moja amshukuru mungu,kwan ni chakula bana!