Kashaijabutege... Siku zote itakua na surplus,kona zako unazopita vilabuni kwenye wanzuki ukihonga bia wajiona umetoa! limbukeni kama wewe nikikuchuna si utataka kuhamia kwangu? Ushauri wangu,
Oa mkeo atakuchuna vizuri kwa maendeleo endelevu na kumbuka kwa mwenye akili Siku zote Pesa haitoshi!

<br />Mimi ni Mhasibu. Nakaribia kumaliza mwaka nikiwa na 'surplus'(ziada). Hii ina maana matumizi yangu yamekuwa madogo ukilinganisha na nilivyopanga kutumia. Sehemu kubwa ya ziada imetokana na kina dada kutonichuna sana kama ilivyokuwa mwaka 2009.<br />
<br />
Ombi langu ni kwa kina dada wanaojua kutumia kunitafuta ili tutafune pesa kabla ya mwaka huu kuisha. Mie nina pesa mpaka nachukia.
mmh hatari</p>
<p>twende msimbaz centre tukawanunulie vitu wazee na watoto yatima....