Kina dada wachunaji mko wapi?

Kina dada wachunaji mko wapi?

Kashaijabutege... Siku zote itakua na surplus,kona zako unazopita vilabuni kwenye wanzuki ukihonga bia wajiona umetoa! limbukeni kama wewe nikikuchuna si utataka kuhamia kwangu? Ushauri wangu,
Oa mkeo atakuchuna vizuri kwa maendeleo endelevu na kumbuka kwa mwenye akili Siku zote Pesa haitoshi!

inaonyesha ukiamua kumchuna mwanaume Da Pretty, unaweza kumfanya asahau familia yake ati!!!!!!!!!

Kashaijabutege... Siku zote itakua na surplus,kona zako unazopita vilabuni kwenye wanzuki ukihonga bia wajiona umetoa! limbukeni kama wewe nikikuchuna si utataka kuhamia kwangu? Ushauri wangu,
Oa mkeo atakuchuna vizuri kwa maendeleo endelevu na kumbuka kwa mwenye akili Siku zote Pesa haitoshi!

Pretty, sinywi bia isiyo na VAT. Nani alikwambia siku zote pesa huwa haitoshi? Hizo ni tamaa za watu tu. Mimi imenitosha na nawaalika wengine watumie. Mke ninanye, na nimeshauriana naye kabla ya kutoa tangazo hili. Ikumbukwe sifanyi hivi kwa sababu ya ngono. Ngono nje ya ndoa kwangu mwiko. Nataka kuchunwa tu.

mmh hatari
twende msimbaz centre tukawanunulie vitu wazee na watoto yatima....

Mimi ni Mhasibu. Nakaribia kumaliza mwaka nikiwa na 'surplus'(ziada). Hii ina maana matumizi yangu yamekuwa madogo ukilinganisha na nilivyopanga kutumia. Sehemu kubwa ya ziada imetokana na kina dada kutonichuna sana kama ilivyokuwa mwaka 2009.

Ombi langu ni kwa kina dada wanaojua kutumia kunitafuta ili tutafune pesa kabla ya mwaka huu kuisha. Mie nina pesa mpaka nachukia.

Mbona kwenu kunawatu wanashida sana.kwanin usiende kuwapa kuliko unavotangaza ivo humu jamvini?

una maakili ww! au kule kijijini kwao nyaishozi akatoe sponsor asomeshe vijana na yatima, ajenge hospitali pia mama zake wadogo wajifungue kwa usalama!

mmh hatari

twende msimbaz centre tukawanunulie vitu wazee na watoto yatima....

Lakini pia kumbuka wazazi wako wanaomba chumvi kwa jirani.

Mbuzi ni mbuzi hawezi kuwa simba.
Acha kudhalilisha wadada wawatu kama unataka raha oa wakwako. Intelectual with negative changes CRAP!

Bukoba ya akina kaishajabutege ni mkoa unaongoza kwa umaskini wahaya sifa zitawaua

Why do not you invest the money and instead you are inviting wholes to use your money? What is wrong with African men?
I thought you saved the whole year so that you can invest?

Mr,kama uko na pesa nyingi nenda kijijini
Kwenu kawasaidie ndugu zako,

Back
Top Bottom